GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Takataka on the wheel [emoji28][emoji28][emoji28]hao wachezaji wako wameitwa how many times national team wakafanya Nini kama sio kuwa mizoga tu na kuprove failureKinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili Aibu na Chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala...
oh kama wameachwa kwakuwa hawakutoa mshiko mlipueKinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili Aibu na Chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala...
Wewe ni mpuuzi...Nyinyi ndio mlimshauri Malinzi kuunda timu ya taifa kwa kukusanya vijana wa mtaani. Mpira hauna shortcut. Wachezaji wa kuwaweka benchi Hussein na Kapombe bado hawapo ligi ya NBC. Tatizo la timu ya taifa sio la wachezaji wawili.Takataka on the wheel [emoji28][emoji28][emoji28]hao wachezaji wako wameitwa how many times national team wakafanya Nini kama sio kuwa mizoga tu na kuprove failure
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ni pale tu utakapoacha Ushoga ndiyo utakuwa na Akili.Takataka on the wheel [emoji28][emoji28][emoji28]hao wachezaji wako wameitwa how many times national team wakafanya Nini kama sio kuwa mizoga tu na kuprove failure
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo alikuwa akijua kuwa kwa Simba SC ambayo Makundi yote Hasimu yameungana baada ya kumaliza tofauti zao na wamefungua / wamekunjua Mioyo yao jana ingefungwa na Horoya FC.Mkuuu mbona hujasema chochote kuhusu ushindi wa mnyama
Namvutia Pumzi na Kasi vile vile pia.oh kama wameachwa kwakuwa hawakutoa mshiko mlipue
Leo Jumapili au hadi Kesho tegemeeni kusikia Taarifa za Kurejeshwa / Kuongezwa Kwao Kikosini Taifa Stars.Nimeona picha kocha wa Taifa Starz anaongea nao baada ya game ya jana, watarudi hao.
big up mkuuNi Mpumbavu tu pekee ndiyo alikuwa akijua kuwa kwa Simba SC ambayo Makundi yote Hasimu yameungana baada ya kumaliza tofauti zao na wamefungua / wamekunjua Mioyo yao jana ingefungwa na Horoya FC.
Kupitia Kwako na GENTAMYCINE nakuambia hili huku nikijiamini kabisa kuwa Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC kwa Usaliti wetu wenyewe kwa wenyewe, ila tungeungana kwa Umoja wetu Siku ile Simba SC angeshinda na hakuna Timu itakayokuja hapa Tanzania Kucheza na Simba SC iliyo na Umoja na Nguvu ikashinda hata ikiwa Liverpool FC yangu au PSG yenu au ile Real Madrid FC yenu.
Nimemaliza.
Mkuu Mashoga huwa hawapewi muda wa Kuelimishwa kama hivyo ulivyofanya kwani tabia zao tu za Ushoga ni Adhabu na Laana tosha Kwao.Wewe ni mpuuzi...Nyinyi ndio mlimshauri Malinzi kuunda timu ya taifa kwa kukusanya vijana wa mtaani. Mpira hauna shortcut. Wachezaji wa kuwaweka benchi Hussein na Kapombe bado hawapo ligi ya NBC. Tatizo la timu ya taifa sio la wachezaji wawili.
Asante na Karibu Mkuu.big up mkuu
,[emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alisema 200%hafuzu simbaMkuuu mbona hujasema chochote kuhusu ushindi wa mnyama
Hahaja genta ahsantee kunipa Raha asubuhiNi Mpumbavu tu pekee ndiyo alikuwa akijua kuwa kwa Simba SC ambayo Makundi yote Hasimu yameungana baada ya kumaliza tofauti zao na wamefungua / wamekunjua Mioyo yao jana ingefungwa na Horoya FC.
Kupitia Kwako na GENTAMYCINE nakuambia hili huku nikijiamini kabisa kuwa Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC kwa Usaliti wetu wenyewe kwa wenyewe, ila tungeungana kwa Umoja wetu Siku ile Simba SC angeshinda na hakuna Timu itakayokuja hapa Tanzania Kucheza na Simba SC iliyo na Umoja na Nguvu ikashinda hata ikiwa Liverpool FC yangu au PSG yenu au ile Real Madrid FC yenu.
Nimemaliza.