Muda wowote tegemeeni Taarifa ya Kapombe na Hussein kurejeshwa Taifa Stars

Ukifuatilia kwa makini kinachoendelea kwenye club za Simba na Yanga mafanikio yanaletwa na wageni.

Jiulizeni ni kwa nini nchi zinazotamba kwa soka Africa kama Nigeria, Senegal, Cameroon, Ivory Coast vilabu vyao siyo tishio kwenye mashindano ya klabu bingwa Africa?

Kwahiyo msitegemee lolote kwa hawa wachezaji maana hata club zetu Sasa hivi zinabebwa na wachezaji wa nje.

Uliza kwenye magoli 7 ya Jana kuna mchezaji mzawa amefunga hata goli moja?
 
Nawaamini sana Hawa jamaa.

Lakini swali kuu kwani waliochukuliwa hawawezi, na hii ni mara Yao ya kwanza kuitwa??
Jibu ni hapana ntashukur wakiitwa ila ni Kwa sabbu tu taifa halina hazina ya wachezaji.
Na kama Kuna hazina hawastahili japo wanauzoefu.
 
[emoji12][emoji12][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji2]genta ujue wewe daaah
 
Ni kweli
 
Asije akawa msomali huyo manake ana nongwa yule mzee!![emoji1787]
 
Rudi hivi sasa, vinginevyo habari ya kutengeneza 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…