Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Hata mimi nataka kujua what happened? Au ndo kichwa cha mwendaazimu. Hata apewe nini atoboi. Azam fc now has nothingIlikuwaje wakamuacha ? Akawa yupi tu zbar anapiga ndondo?
Hapana. Yani ni midfielder mzuri sana. Wa level yetu he is better than most. In Tanzania.Ana miaka zaidi ya 27, then anacheza kawaida tu
32?!! Hapana ajafikaMiaka 32
Hata sijui shida ni nini? At azam fc they have everything, for a team to succeed. Fans will come on the way. Sema I believe a CAF competition is what makes clubs change mentality. We wait and seeAzam kawaida yao kuacha wachezaji wazuri
Swali gumuMudathri mchezaji mzuri
Sijui Azam walimuacha kwa nini
Azama msimu mmoja makocha 3. Inawezekana alikuwa haendani na mfumo wa kocha.Mudathri mchezaji mzuri
Sijui Azam walimuacha kwa nini
Hao wachezaji wanaenda kuwa wazuri wakiwa Simba au Yanga, sababu ya presha ya mashabiki nk, wakiwa Azam wanarelax, hata mayele ukimleta leo Azam anasahaulikaAzam kawaida yao kuacha wachezaji wazuri
Kwamba fans play the role. Na hisi azam a force hata CAF group stage. KatoboaHao wachezaji wanaenda kuwa wazuri wakiwa Simba au Yanga, sababu ya presha ya mashabiki nk, wakiwa Azam wanarelax, hata mayele ukimleta leo Azam anasahaulika
hawakukubaliana kwenye maslahi, alitaka aongezewe mpunga hawakukubalianaMudathri mchezaji mzuri
Sijui Azam walimuacha kwa nini
Azam waliwahi waacha Boko, Manula na Erasto Nyoni Makolo wapenda mdondo wakajiokotea wakawapa na ubingwaIlikuwaje wakamuacha ? Akawa yupi tu zbar anapiga ndondo?
Azam kuna wakati ikikuwa haina mwenyewe u Simba Yanga ulivuruga hiyo team migomo na kuuza mechiAzam waliwahi waacha Boko, Manula na Erasto Nyoni Makolo wapenda mdondo wakajiokotea wakawapa na ubingwa
Washabiki wana impact kubwa sana hasa bongo ambayo wapo timu mbili tuuK
Kwamba fans play the role. Na hisi azam a force hata CAF group stage. Katoboa
Una point hapa.Hao wachezaji wanaenda kuwa wazuri wakiwa Simba au Yanga, sababu ya presha ya mashabiki nk, wakiwa Azam wanarelax, hata mayele ukimleta leo Azam anasahaulika