Mudathir Yahya ni fundi sana

Mudathir Yahya ni fundi sana

Mudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good.

View attachment 2620745

I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana.

Hongereni.
Acha kumpa sifa ambazo hana...mudathir ni mchezaji mwenye kiwango cha kawaida sana
 
Mudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good.

View attachment 2620745

I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana.

Hongereni.
Huyo jamaa ni fundi haswaa na ametumia kuondoka kwa fei kupambana achukue nafasi yake na kafanikiwa
 
Solution ni kukomaa, mashabiki wanakujua mbele ya safari. Mfano man city fans wanakuja sasa hivi. After so many success.
Kwa mazingira ya ulaya inawezekana, ila kwa Tanzania ni ngumu, kila unapogusa kuna usimba na uyanga
 
Hata sijui shida ni nini? At azam fc they have everything, for a team to succeed. Fans will come on the way. Sema I believe a CAF competition is what makes clubs change mentality. We wait and see
Hawana watu wa kulala makarios. Ukiwa mkubwa utanielewa
 
Azam kuna fitna nyingi mno na kuna perepete nyingi mno na shida kubwa ya azam ni wamiliki wake ni wana simba
Sioni tatizo. Na hisi wachange management. A better ceo, football directors, change vision of a team and mentality will follow. Azam pesa haziwasaidii kitu . Its sad.
 
Mkataba ulikuwa umefika ukingoni.Kwa kumuona ni mchezaji wa kawaida wakamuwekea ofa kiiduchu akaamua kusepa zake.
Issues players wao awaonekani, if they manage to reach caf group stage. Exposure itakuwa kubwa it may help
 
Back
Top Bottom