Acha kumpa sifa ambazo hana...mudathir ni mchezaji mwenye kiwango cha kawaida sanaMudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good.
View attachment 2620745
I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana.
Hongereni.
Kwa level yetu wa tz, number yake aina mpizaniAcha kumpa sifa ambazo hana...mudathir ni mchezaji mwenye kiwango cha kawaida sana
Solution ni kukomaa, mashabiki wanakujua mbele ya safari. Mfano man city fans wanakuja sasa hivi. After so many success.Washabiki wana impact kubwa sana hasa bongo ambayo wapo timu mbili tuu
Huyo jamaa ni fundi haswaa na ametumia kuondoka kwa fei kupambana achukue nafasi yake na kafanikiwaMudathir Yahya is a Baller. At the age of 27 years old. He could have been ina better Club than Azam and Young Africans. He is too good.
View attachment 2620745
I hope these CAF competitions highlights his career to a better pay day. Azam FC recruitment board ipo vizuri sana.
Hongereni.
Azam kuna fitna nyingi mno na kuna perepete nyingi mno na shida kubwa ya azam ni wamiliki wake ni wana simbaHata mimi nataka kujua what happened? Au ndo kichwa cha mwendaazimu. Hata apewe nini atoboi. Azam fc now has nothing
Kwa mazingira ya ulaya inawezekana, ila kwa Tanzania ni ngumu, kila unapogusa kuna usimba na uyangaSolution ni kukomaa, mashabiki wanakujua mbele ya safari. Mfano man city fans wanakuja sasa hivi. After so many success.
Hawana watu wa kulala makarios. Ukiwa mkubwa utanielewaHata sijui shida ni nini? At azam fc they have everything, for a team to succeed. Fans will come on the way. Sema I believe a CAF competition is what makes clubs change mentality. We wait and see
Mamelodi sundowns wamegeuza meza South Africa kwa mpunga tu. Azam can do itKwa mazingira ya ulaya inawezekana, ila kwa Tanzania ni ngumu, kila unapogusa kuna usimba na uyanga
Sioni tatizo. Na hisi wachange management. A better ceo, football directors, change vision of a team and mentality will follow. Azam pesa haziwasaidii kitu . Its sad.Azam kuna fitna nyingi mno na kuna perepete nyingi mno na shida kubwa ya azam ni wamiliki wake ni wana simba
According to you.Acha kumpa sifa ambazo hana...mudathir ni mchezaji mwenye kiwango cha kawaida sana
Mkataba ulikuwa umefika ukingoni.Kwa kumuona ni mchezaji wa kawaida wakamuwekea ofa kiiduchu akaamua kusepa zake.Azama msimu mmoja makocha 3. Inawezekana alikuwa haendani na mfumo wa kocha.
Issues players wao awaonekani, if they manage to reach caf group stage. Exposure itakuwa kubwa it may helpMkataba ulikuwa umefika ukingoni.Kwa kumuona ni mchezaji wa kawaida wakamuwekea ofa kiiduchu akaamua kusepa zake.