Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Wewe kila siku ukifunga magoli ya ndondocha unapiga simu, washabiki wako wakawa wanasema kuwa viongozi wa Azam ndio unawapigia simu lakini hawapokei, sio kwamba hawapokei, viongozi wa Azam wana adabu sana, kwa sababu walikulea wenyewe, ukaondoka ukarudi tena bado wakakubeba, ukawa unaleta nyodo ukipachika bao unavua kizuia ugoko yaan Shin guard unaweka sikioni kuwakera watu.
Azam hawakuwa wakipokea simu yako kwa sababu wanakujua, walikuwa wanasubiria kwenye gemu ya jana wakutane na wewe live ndio wapokee simu yako.
Piga simu sasa mjinga mkubwa wewe.
Azam hawakuwa wakipokea simu yako kwa sababu wanakujua, walikuwa wanasubiria kwenye gemu ya jana wakutane na wewe live ndio wapokee simu yako.
Piga simu sasa mjinga mkubwa wewe.