Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
wamepokea simu ila mbona too late,azam hawako siriaz...wangepokea mapema pengine wangekuwa wanaongoza wao ligi mda huu ila ndo watagombea nafasi ya pili huko na makolouizdadWewe kila siku ukifunga magoli ya ndondocha unapiga simu, washabiki wako wakawa wanasema kuwa viongozi wa Azam ndio unawapigia simu lakini hawapokei, sio kwamba hawapokei, viongozi wa Azam wana adabu sana, kwa sababu walikulea wenyewe, ukaondoka ukarudi tena bado wakakubeba, ukawa unaleta nyodo ukipachika bao unavua kizuia ugoko yaan Shin guard unaweka sikioni kuwakera watu.
Azam hawakuwa wakipokea simu yako kwa sababu wanakujua, walikuwa wanasubiria kwenye gemu ya jana wakutane na wewe live ndio wapokee simu yako.
Piga simu sasa mjinga mkubwa wewe.
Huna akili ndo maana thread Yako Haina comment .Wewe kila siku ukifunga magoli ya ndondocha unapiga simu, washabiki wako wakawa wanasema kuwa viongozi wa Azam ndio unawapigia simu lakini hawapokei, sio kwamba hawapokei, viongozi wa Azam wana adabu sana, kwa sababu walikulea wenyewe, ukaondoka ukarudi tena bado wakakubeba, ukawa unaleta nyodo ukipachika bao unavua kizuia ugoko yaan Shin guard unaweka sikioni kuwakera watu.
Azam hawakuwa wakipokea simu yako kwa sababu wanakujua, walikuwa wanasubiria kwenye gemu ya jana wakutane na wewe live ndio wapokee simu yako.
Piga simu sasa mjinga mkubwa wewe.
Msijipe matumaini utouzidad...ligi bado mbichiwamepokea simu ila mbona too late,azam hawako siriaz...wangepokea mapema pengine wangekuwa wanaongoza wao ligi mda huu ila ndo watagombea nafasi ya pili huko na makolouizdad
simu alishaacha kupigaWewe kila siku ukifunga magoli ya ndondocha unapiga simu, washabiki wako wakawa wanasema kuwa viongozi wa Azam ndio unawapigia simu lakini hawapokei, sio kwamba hawapokei, viongozi wa Azam wana adabu sana, kwa sababu walikulea wenyewe, ukaondoka ukarudi tena bado wakakubeba, ukawa unaleta nyodo ukipachika bao unavua kizuia ugoko yaan Shin guard unaweka sikioni kuwakera watu.
Azam hawakuwa wakipokea simu yako kwa sababu wanakujua, walikuwa wanasubiria kwenye gemu ya jana wakutane na wewe live ndio wapokee simu yako.
Piga simu sasa mjinga mkubwa wewe.
ligi gani hiyo!!!labda ile ligi yenu ya timu zilizokula 5G na timu ya wapigania uhuru wa waafrika Yanga Sports Club...huko ndipo ligi bado mbichi mnoMsijipe matumaini utouzidad...ligi bado mbichi
Haya wee...ligi gani hiyo!!!labda ile ligi yenu ya timu zilizokula 5G na timu ya wapigania uhuru wa waafrika Yanga Sports Club...huko ndipo ligi bado mbichi mno
Ila wabongo buana, kitu kidogo tayari wameshajustify, kwa hiyo hapo Mudathir ndio anaonekana hana shukrani na Feisal ndio mwema kisha ishara ya mikono tu??πSasa kutopokelewa simu tu na Azam ndio mchizi ame catch kiasi kila anapofunga anashangilia kwa kupiga simu?
Sasa yangemkuta ya Feisal jinsi alivyokuwa treated na Yanga mpaka viongozi wakamfananisha na andazi?
Angeweza ku handle hisia zake siku ambayo angesikia mashabiki wa Yanga wanamuimba kuwa hawamtaki?
Huyu angekuwa kwenye position ya Feisal basi kila anapofunga goli basi angekuwa anafanya vijembe vingi kulingana na jinsi alivyokuwa mistreated.
Lakini Feisal jana kafunga wala hakutumia dhihaka kushangilia ndio kwanza akawaomba msamaha.
Hiyo inaitwa maturity.
Kuna Fei m1 tyuuh Bongo, ogopa matapeli.Sasa kutopokelewa simu tu na Azam ndio mchizi ame catch kiasi kila anapofunga anashangilia kwa kupiga simu?
Sasa yangemkuta ya Feisal jinsi alivyokuwa treated na Yanga mpaka viongozi wakamfananisha na andazi?
Angeweza ku handle hisia zake siku ambayo angesikia mashabiki wa Yanga wanamuimba kuwa hawamtaki?
Huyu angekuwa kwenye position ya Feisal basi kila anapofunga goli basi angekuwa anafanya vijembe vingi kulingana na jinsi alivyokuwa mistreated.
Lakini Feisal jana kafunga wala hakutumia dhihaka kushangilia ndio kwanza akawaomba msamaha.
Hiyo inaitwa maturity.
Jana si wameonana?Wewe kila siku ukifunga magoli ya ndondocha unapiga simu, washabiki wako wakawa wanasema kuwa viongozi wa Azam ndio unawapigia simu lakini hawapokei, sio kwamba hawapokei, viongozi wa Azam wana adabu sana, kwa sababu walikulea wenyewe, ukaondoka ukarudi tena bado wakakubeba, ukawa unaleta nyodo ukipachika bao unavua kizuia ugoko yaan Shin guard unaweka sikioni kuwakera watu.
Azam hawakuwa wakipokea simu yako kwa sababu wanakujua, walikuwa wanasubiria kwenye gemu ya jana wakutane na wewe live ndio wapokee simu yako.
Piga simu sasa mjinga mkubwa wewe.
Hao ni utogalaxyMsijipe matumaini utouzidad...ligi bado mbichi
Kumbe tunabadilishana timu...kumbe wao maswahiba wao ni galaxy 6 goals...ππHao ni utogalaxy