Muelekeo Mpya? Zuhura Yunus ameanza utaratibu wa kufanya 'Press Briefing' Ikulu..

hapo kwenye ushauri wako sidhani kama watazingatia!maana wanapenda kuita waandishi wao ambao hawana weledi wa kutosha!sasa akiita type za kina Mayala anaeza umbuka bure kwa maswali magumu!!
 
Huyu dada nilikuwa najua haipendi ccm but kumbe alikuwa na chuki na jpm tu tangu aingie mama huyu alikaa kimya mpaka uzenji ulipopita na yeye akanyakuliwa , sasa sijui ni udin mwingi au uzenji mwingi nipo njia panda na udin anao sana huyu dada
 
Jpm hakuna anayempenda alikuwa katili
 
JK alikiri hadharani kuwa ikulu panalindwa na majini saba. Na si mnafahamu kuwa Waarabu na majini ni pete na kidole ?

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Aliisemea wapi hii naomba link πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Anaweza kueleza Bei za mafuta na njia zipi mma ake anachukuwa
 
Kwa nchi za wenzetu cheo cha Yunus kinajibu maswali ya papo kwa papo kwa issues zote za serikali. Yaani wanakua kama diary ya serikali au diary ya Rais. Hawa hutoa zile taarifa zote na kujibu maswali yote ya wananchi

Hapa kwetu pengine hili ni gumu kutokana na levo yetu ya stability ya taasisi za serikali kama zao la katiba yetu,sheria zetu na aina ya viongozi wetu
 
Huyu dada nilikuwa najua haipendi ccm but kumbe alikuwa na chuki na jpm tu tangu aingie mama huyu alikaa kimya mpaka uzenji ulipopita na yeye akanyakuliwa , sasa sijui ni udin mwingi au uzenji mwingi nipo njia panda na udin anao sana huyu dada
Huyu Ni.ndugu yake bi Mkubwa.. ...

Naa..piaa..mmh!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Yeah. Halafu yule Seth alikuwa anafanya kazi hiyo wakati wa utawala wa Obama. Ni character aliyeigiza kazi yake ya zamani kwa uhalisia.
kumbeee nilikiwa sijui hii
ndo mana ile SERIES wameigiza vizuri kwa viwango vya juu sana
kila EPISODE iko moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…