Kujua mtizamo au mawazo ya mtu ni hadi ukae upige nae story ambazo majibu yake yanahusu fikra za msingi katika maisha.
Sasa kibaya wadada wakiwa wanatongozwa wanawaza Mengine kabisaaaa, kengine unakuta hakana hata story kenyewe ni kuitikia tu, ndio, asante, nimependa, nitakumiss, me to story hadi mwanaume aanzishe
Waweza mjua mtu kwa maongezi yake hayo hayo kwamba ni wa karba gani. Mfano huyo ni wale wa tumeskia na tumetii, Hana mawazo yake binafsi Bali yeye ni kuitika tu.Kujua mtizamo au mawazo ya mtu ni hadi ukae upige nae story ambazo majibu yake yanahusu fikra za msingi katika maisha.
Sasa kibaya wadada wakiwa wanatongozwa wanawaza Mengine kabisaaaa, kengine unakuta hakana hata story kenyewe ni kuitikia tu, ndio, asante, nimependa, nitakumiss, me to story hadi mwanaume aanzishe.
Tatizo unaempenda hata hathamini huo upendo....lazima tuangukie puaNdoa nyingi za sasa zinavunjika kwakua watu wanaoa au kuolewa na watu ambao hawaendani nao.