Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mkuu Cannabis huna haja ya kusema picha zinaongea maneno milioni na zaidi. Ujumbe mzito sana
Huo mwandiko wa kijani ni kama wa Bon Yai vile.
CHADEMA kisingeweza kuchukua Dola na watu dizaini hii ndio maana Mungu anakitakasa na najisi.Aiseee 🐼
Picha ya kufunga mwaka
Mkuu hivi watu au mtu kuhama cha cha Siasa sini haki yake au?G55 wooote ni wasaka tonge TU.
KAZI ni kipimo cha utu
Kabisa ndiyo maana 2025 Lissu ana apishwa kua raisi wa awamu ya sabaCHADEMA kisungeweza kuchukua Dola na watu dizaini hii ndio maana Mungu anakitakasa na najisi.
Makavu laivu hayo