Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Hizo swagga za kula hela za ccm na kuanza lugha za kitapeli mbona zishachuja?
Wakati mnampa fomu hamkuliona Hilo jina?MTU mwenyewe Anaitwa Yuda eskarioti unategemea nini zaidi ya usaliti
Bila kumtaja Lissu uko chini uwa hakupoi.Kuna kila dalili Tundu akaunga juhudi
UTATEGEMEA MTU ANAYEITWA YUDA AKATAE FEDHA ZA HONGO? NA NYIE CHADEMA INAKUWAJE MNAKUWA NA MGOMBEA WA UONGOZI ANAITWA YUDA?
Ndo natoka sasa chama hakina muelekeo.Hahahaha Wagombea wengine wanachekesha sana! OK kwahio tufanyeje??
Kwani yeye lissu halimuhusu hili??Bila kumtaja Lissu uko chini uwa hakupoi.