TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Labda hakupewa Ilan kabla...! baada ya kuipata ndiyo akagutuka kuwa kuna tatizo! Nawaza. Hata hivyo, Ndugu/Kamanda Yuda ametekeleza haki yake ya kidemokrasia inayohubiriwa na Chadema tena na kauli mbiu ya Uhuru, Haki na Maendeleo. Mkimshikisha adabu mtadhibitisha kuwa kweli ninyi ni waongo mnatangaza msichokiamini. Huo ni uhuru wake hakuna kumshikisha adabu!Dah! Huyu anapaswa kushikishwa adabu. Kwa nini aligombea kama alijua hicho anachokisema?