Uchaguzi 2020 Mufindi: Mgombea Udiwani CHADEMA ajitoa, alaumu chama kukosa Sera na Ilani

Uchaguzi 2020 Mufindi: Mgombea Udiwani CHADEMA ajitoa, alaumu chama kukosa Sera na Ilani

Dah! Huyu anapaswa kushikishwa adabu. Kwa nini aligombea kama alijua hicho anachokisema?
Ndio pale tunapokuwa na mashaka ya wagombea wa Chadema kama ni mamluki au wachuuzi,au pandikizi au wafia chama kama Lissu.
 
Ndugu zangu,

Habari ndio hii..View attachment 1557696
Kuna Mwingine anaitwa Omary Gindi ni Mgombea kata ya Rubuga naye yupo ndani kutokana na kufanya utapeli kwa Lengo la kumsaidia kwenye Kampeni za Udiwani milioni 59 . Katika maelezo yake amebainisha kuwa Chadema wanafundishana namna bora ya kufanya utapeli. Ndiyo maana hata Mtu akiwa Mbunge kupitia Chadema lazima akatwe na Mwenyekiti na hela ya Mfuko wa Jimbo lazima kiasi kiende kwa Mbowe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nashauri usikurupuke kukandia tu hilo jina. Kumbuka Yesu alitoka kwenye ukoo wa Yuda, moja kati ya makabila 12 ya Wanaisrael. Je waujua wimbo maarufu Simba wa Yuda.
Simba wa Yuda anaunguruma maana yake ni "YESU NI KIBOKO YA YUDA MSALITI"
 
UKITAKA KUJENGA, KUSOMESHA WATOTO NA HATA KUKWAPUA FEDHA ZA MKURUGENZI, MKUU WA WILAYA, MKUU WA MKOA NA HATA FEDHA ZA JIWE WEWE GOMBEA NAFASI YA UONGOZI KUPITIA CHADEMA. UTAFUATWA NA KUTATULIWA SHIDA ZAKO ZOTEEEEE
Mtabaki na wangapi sasa!
 
WANA CHADEMA WA MUFINDI, KULA NAE SAHANI MOJA HUYU
Si wewe uende? Au unataka kuzuia DEMOKRASIA na UHURU wa mtu unaohubiriwa na CDM?

Uhuru mnaousema uwe kwa vitendo.
Huenda hakuna anayezielewa hizo sera za cdm isipokuwa wachache.

Au hazipo hivyo mgombea mkuu anatoa kichwani mwake tu ila wengine kila mmoja nachomoka kivyake.

La mwisho ni matumizi ya Demokrasia acheni atumie sio kumtishia maisha.

Hivi mnatishia kumshughulikia hamna dola je mkiwa nayo si mtawashughulikia wengi wanakuwa kinyume nanyi?
 
Huyu alijipanga kufanya hivyo tangu awali.
 
Back
Top Bottom