Uchaguzi 2020 Mufindi: Mgombea Udiwani CHADEMA ajitoa, alaumu chama kukosa Sera na Ilani

Dah! Huyu anapaswa kushikishwa adabu. Kwa nini aligombea kama alijua hicho anachokisema?
Labda hakupewa Ilan kabla...! baada ya kuipata ndiyo akagutuka kuwa kuna tatizo! Nawaza. Hata hivyo, Ndugu/Kamanda Yuda ametekeleza haki yake ya kidemokrasia inayohubiriwa na Chadema tena na kauli mbiu ya Uhuru, Haki na Maendeleo. Mkimshikisha adabu mtadhibitisha kuwa kweli ninyi ni waongo mnatangaza msichokiamini. Huo ni uhuru wake hakuna kumshikisha adabu!
 
UKITAKA KUJENGA, KUSOMESHA WATOTO NA HATA KUKWAPUA FEDHA ZA MKURUGENZI, MKUU WA WILAYA, MKUU WA MKOA NA HATA FEDHA ZA JIWE WEWE GOMBEA NAFASI YA UONGOZI KUPITIA CHADEMA. UTAFUATWA NA KUTATULIWA SHIDA ZAKO ZOTEEEEE
Lakini ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi.
 
Hayo hakujua Kabla ndio amegundua leo ?
 
Mgombea anaitwa YUDA wazazi tuangalie majina yakuwapa watoto.
Nashauri usikurupuke kukandia tu hilo jina. Kumbuka Yesu alitoka kwenye ukoo wa Yuda, moja kati ya makabila 12 ya Wanaisrael. Je waujua wimbo maarufu Simba wa Yuda.
 
Nashauri usikurupuke kukandia tu hilo jina. Kumbuka Yesu alitoka kwenye ukoo wa Yuda, moja kati ya makabila 12 ya Wanaisrael. Je waujua wimbo maarufu Simba wa Yuda.
Usichukulie kila kitu siriously.
 
Hahahaha Wagombea wengine wanachekesha sana! OK kwahio tufanyeje??
Huyu hana impact yoyote kwa chama
sisiemuzzz wanatumia uongo kueneza ilani yao
Aende tu amelipwa laki moja akaona nyingi sana simlaumu
Ujinga wetu ndio maana tupo tulipo
 
Ndugu zangu,

Habari ndio hii..View attachment 1557696
Yuda??????!!!!!
Kama yule Yuda boss wa wasaliti aliweza kumsaliti Yesu kwa vipande 30 vya fedha, ije iwe haka ka Yuda kadogo kwa ile 1.5 tr anayogawa jiwe kaache kusaliti?
Habari zinginenl ni aibu muwe mnabaki nazo hukohuko kwa pole pole na wanunuliwa wenu.
 
Pengine hii ni chai nyingine. .najaribu kuwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…