Ndio pale tunapokuwa na mashaka ya wagombea wa Chadema kama ni mamluki au wachuuzi,au pandikizi au wafia chama kama Lissu.Dah! Huyu anapaswa kushikishwa adabu. Kwa nini aligombea kama alijua hicho anachokisema?
UTATEGEMEA MTU ANAYEITWA YUDA AKATAE FEDHA ZA HONGO? NA NYIE CHADEMA INAKUWAJE MNAKUWA NA MGOMBEA WA UONGOZI ANAITWA YUDA?
Sawa, maana ndio nilishaanza kuchukulia seriously.Usichukulie kila kitu siriously.
Kuna Mwingine anaitwa Omary Gindi ni Mgombea kata ya Rubuga naye yupo ndani kutokana na kufanya utapeli kwa Lengo la kumsaidia kwenye Kampeni za Udiwani milioni 59 . Katika maelezo yake amebainisha kuwa Chadema wanafundishana namna bora ya kufanya utapeli. Ndiyo maana hata Mtu akiwa Mbunge kupitia Chadema lazima akatwe na Mwenyekiti na hela ya Mfuko wa Jimbo lazima kiasi kiende kwa Mbowe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa kumfanyaje. Ngalu?Dah! Huyu anapaswa kushikishwa adabu. Kwa nini aligombea kama alijua hicho anachokisema?
Simba wa Yuda anaunguruma maana yake ni "YESU NI KIBOKO YA YUDA MSALITI"Nashauri usikurupuke kukandia tu hilo jina. Kumbuka Yesu alitoka kwenye ukoo wa Yuda, moja kati ya makabila 12 ya Wanaisrael. Je waujua wimbo maarufu Simba wa Yuda.
Huyu komaeni naye mpaka awajalie mtoto wa kiume,,..mwanaizaya huyuWANA CHADEMA WA MUFINDI, KULA NAE SAHANI MOJA HUYU
Mtabaki na wangapi sasa!UKITAKA KUJENGA, KUSOMESHA WATOTO NA HATA KUKWAPUA FEDHA ZA MKURUGENZI, MKUU WA WILAYA, MKUU WA MKOA NA HATA FEDHA ZA JIWE WEWE GOMBEA NAFASI YA UONGOZI KUPITIA CHADEMA. UTAFUATWA NA KUTATULIWA SHIDA ZAKO ZOTEEEEE
toka kampeni zianzeHilo amelijua toka lini?
Naona pepo la kuunga juhudi bado linawasumbua Malaya wa kisiasa.
Sio kweli mkubwa. Yesu alimshinda shetani kwa kifo na ufufuko msalabani. Hakuja kumshinda Yuda Msaliti 😎Simba wa Yuda anaunguruma maana yake ni "YESU NI KIBOKO YA YUDA MSALITI"
Si wewe uende? Au unataka kuzuia DEMOKRASIA na UHURU wa mtu unaohubiriwa na CDM?WANA CHADEMA WA MUFINDI, KULA NAE SAHANI MOJA HUYU
Ila Wewe jamaa Wewe, kwamba jina linahakisi tabiaMgombea anaitwa YUDA wazazi tuangalie majina yakuwapa watoto.
Jina la YUDA baya sana