Mufti aagiza madrasa zote nchini kufungwa, swala ya Ijumaa kuswaliwa tofauti

Mufti aagiza madrasa zote nchini kufungwa, swala ya Ijumaa kuswaliwa tofauti

Mtu atakayepata maradhi hayo akawa hajui kama ameyapata na akahudhruia nayo msikitini atakuwa haramu au najisi pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli wagalatia wana shida ya uelewa....
Haramu....siyo najisi nyie KUKU....inaweza kuwa kufanya jambo,najisi ni vitu kama nguruwe,mbwa,pombe...sasa tendo LA kula riba ndiyo haramu...kama tendo LA MTU anayejijua ana corona kaziona dalili zote kisha akaenda kuswali jamaa na watu walio salama ndiyo inakuwa haramu nyie VIAZI...acheni upunguani wapi najisi imetajwa.
 
Mtu atakayepata maradhi hayo akawa hajui kama ameyapata na akahudhruia nayo msikitini atakuwa haramu au najisi pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la mtu kuwa najisi jwa maradhi umelitowa wapi? Niijuavyo najisi ni kula nguruwe kama mlavyo nyinyi au hata kumgusa nguruwe ndiyo unakuwa najisi Kwa kuwa nguruwe ni najisi Kwa mujibu wa biblia. Pia ikiwa huchambi kama mlivyo nyinyi ndiyo unatembea na najisi.
 
Baada ya hili Mufti huko mbele aungane na kina Bagonza kuhakikisha uneni wake unaliweka sawa Taifa.
 
Mtu atakayepata maradhi hayo akawa hajui kama ameyapata na akahudhruia nayo msikitini atakuwa haramu au najisi pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na homa halafu huendi kupima wakati huu utakuwa ni poyoyo wa mwisho duniani. Waislam hawana ujinga huo. Ujinga kama huo ni kwa wale wenye najisi na minyoo ya nguruwe tu maana ile huenda mpaka kwenye ubongo.

Halafu serikali inabidi iwaweke quarantine wala nguruwe wote kwani kuna kila dalili huyo corona kaanzia kwa nguruwe, imefanywa siri tu, Soma...

Special Report: Before coronavirus, China bungled swine epidemic with secrecy
 
Mwenye virusi vya Corona kwenda kuswali swala ya Ijumaa au kujichanganya na wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye maradhi yoyote ya kuambukiza haruhusiwi kuswali sala yoyote ya jamaa wala kuchanganyika na watu.

Hayo mema tunayajuwa zaidi ya miaka 1400 nyuma, si ya Sheikh hayo.

Tatizo lako haujuwi hata maana ya neno Uislam halafu unataka kuuongelea Uislam.

Wewe kapigane porojo na yale mengine na makasisi na mapadri wako huko. Uislam ni dini ya wenye kufikiri. Huiwezi.
 
Amesema kutakuwa na sala siku ya ijumaa tuu na jamaa na pia akasisitiza kuwa muislamu yeyote atakaepata corona huyo atakuwa najisi hivyo hatoruhusiwa kushiriki ibadani.
wewe jamaa ni kiazi kabisa ni wapi alikosema atakaepata korona atakuwa najisi acha kupotosha jamii kwa kumlisha maneno mufti hayo ya najisi umesema wewe shame of you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesema kutakuwa na sala siku ya ijumaa tuu na jamaa na pia akasisitiza kuwa muislamu yeyote atakaepata corona huyo atakuwa najisi hivyo hatoruhusiwa kushiriki ibadani.
NIMEJARIBU KUFUATILIA SAUTI NA MAANDISHI SIJAFANIKIWA KUONA HAPO ULIPO PANUKUU WEWE KWAMBA "ATAKAEPATA CORONA HUYO ATAKUWA NI NAJISI. ! HEBU TUHAKIIISHIE NI WAPI KTK MAANDISH AU SAUTI AMESEMA ULIVYOSEMA WEWE ??? AU NI CHUKI SASA??
 
Amesema kutakuwa na sala siku ya ijumaa tuu na jamaa na pia akasisitiza kuwa muislamu yeyote atakaepata corona huyo atakuwa najisi hivyo hatoruhusiwa kushiriki ibadani.
Waislam hawana ujinga huo. Mufti hawezi kuongea huo ujinga wako uliomzulia.

Ujinga kama huo unaweza kuongewa na wale wenye najisi na minyoo ya nguruwe tu maana ile huenda mpaka kwenye ubongo.

Halafu serikali inabidi iwaweke quarantine wala nguruwe wote kwani kuna kila dalili huyo corona kaanzia kwa nguruwe, imefanywa siri tu, Soma...

Special Report: Before coronavirus, China bungled swine epidemic with secrecy
 
NIMEJARIBU KUFUATILIA SAUTI NA MAANDISHI SIJAFANIKIWA KUONA HAPO ULIPO PANUKUU WEWE KWAMBA "ATAKAEPATA CORONA HUYO ATAKUWA NI NAJISI. ! HEBU TUHAKIIISHIE NI WAPI KTK MAANDISH AU SAUTI AMESEMA ULIVYOSEMA WEWE ??? AU NI CHUKI SASA??
Watu wanaoongea kama huyo anaejiita mbwa wa stendi huwa wana najisi mpaka kwenye ubongo. Usiwashangae, sisi tunawaelewa hao, wapo wengi tu kwenye huu uzi. Wana chuki za kijinga tu na Uislam na kila wanaposoma neno Uislam au Waislam nasi najisi zao hazijifichi, lazima ziwatapakae.
 
No anakosea anapoanza kuita watu najisi, na akiupata yeye je aitwe nani?inakera sana hii tabia ya mtu unateuliwa kiongozi kisha unasahau kwamba kuwa kwako kiongozi hakukufanyi kwa namna yoyote kuwa tofauti na wale unaowaongoza.

Imenikumbusha yule shehe aliyesema Corona ni adhabu kwa Wachina kwa sababu walichoma kitabu naye Corona ikampata.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
hakuna mahali alipo sema mtu akipata corona anakua najis. wewe umeona mahali alipo sema hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom