Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa hiyo anakuwa haramu?
Bado hujajibu hili swali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujajibu hili swali.
Mwenye maradhi yoyote ya kuambukiza haruhusiwi kuswali sala yoyote ya jamaa wala kuchanganyika na watu.
Hayo mema tunayajuwa zaidi ya miaka 1400 nyuma, si ya Sheikh hayo.
Tatizo lako haujuwi hata maana ya neno Uislam halafu unataka kuuongelea Uislam.
Wewe kapigane porojo na yale mengine na makasisi na mapadri wako huko. Uislam ni dini ya wenye kufikiri. Huiwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app