Mwenye maradhi yoyote ya kuambukiza haruhusiwi kuswali sala yoyote ya jamaa wala kuchanganyika na watu.
Hayo mema tunayajuwa zaidi ya miaka 1400 nyuma, si ya Sheikh hayo.
Tatizo lako haujuwi hata maana ya neno Uislam halafu unataka kuuongelea Uislam.
Wewe kapigane porojo na yale mengine na makasisi na mapadri wako huko. Uislam ni dini ya wenye kufikiri. Huiwezi.
hivi mtu akijua ana corona na akaja kanisani ili awaambukize waumini, huyo mtu atakua amefanya kitendo cha halali au cha haramu?
Mufti ni vizuri misikiti yote ikafungwa watu wakaswalia nyumbani
Itabid uwekwe utaratibu,Sadaka byee
Acha kupotosha wenzio, Muathirika haruhusiwi kujichanganya na watu wengine kufanya ibada ya pamoja Bali anajitenga na kusali peke yake, hivyo mgonjwa si najisi maana anaruhusiwa kufanya ibada.
ni nani huyo aliyekudanganya kuwa mimi ni mtu wa maana?