johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jino kwa jino ni ukristo mkuu😂Na ile jino kwa jino ilitoka wapi? Mbona mnatuchanganya Sasa, Houthi, Hezibola, ISIS na Ali shabab plus Boko haram wanatii serikali wale?
Ndio maana hata ukiambiwa jifunge mabomu ukalipue watu pale utakuta bikira saba wa kiarabu wanakusubiri ahera unatii tu bila hata kufikiriMufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada
Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali
Source: Upendo Tv
Assiin bi siin jino kwa jino,innal qiswaas haqqiJino kwa jino ni ukristo mkuu😂
Kisasi ni haki ndio ya wavaa kobazi......Jino kwa jino ni ukristo mkuu😂
Naunga mkono hojaMufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada
Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali
Source: Upendo Tv
na huo ndio usilamu safi na nadhifu ulivyo duniani kote, kwa maneno na matendo 🐒Mufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada
Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali
Source: Upendo Tv
Watekaji wanafir* watu (baadhi ya waliotekwa inadaiwa walifanywa hivo) lakini sheikh anaona sawa tuHuyu mufti ni uchafu tu
Uislam unakataa dhulma, uislam unakataza uonevu uislam unakataza kila aina ya ushetani lakini hao masheikh ubwabwa wa bakwata wanaunga mkono utekaji na mambo ya kipuuzi ya kuikingia kifua utawala wa hichi kibibi
Hatuna masheikh tuna wahuni tu pale
Hatuna masheikh tuna wapuuzi tu
Hatuna masheikh tuna tuna majambazi ya kijani yalovaa nguo za dini
Hatuna masheikh tunatuna mafisadi tu na majizi yalokaa kwenye mgongo wa dini
Hatuna masheikh tuna wapumbavu tu ambao hata certificate ya elimu dunia hawana
Wale ni wapuuzi tu ndo maana wanaharahara baada ya kushiba hongo za bure na vijizawadi kutoka kwa watawala
Shame on you Bakwata nyie ni waovu wakubwa na makhabithi wa karne hii mlaaniwe kabisa
Naona haya kuwa muislam kwasababu ya hawa vibaka waliojificha kwenye viongozi wa dini
Taasisi lenyewe kama ccm tu miaka 60 bakwata hawana hata shimo la choo wala shule ya maana halafu wanajiita taasisi Hovyo kabisa!!
Hamna mashheikh pale kuna shehena za wapuuzi tu
Sawa kuanzia leo nitaanza kuzingatia na kumtii shehe MwaipopoMufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada
Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali
Source: Upendo Tv
Hakuna kumtii kiumbe katika kumuasi AllahKuwatii madhalimu pia uislam unaruhusu?