Mufti Abubakar: Katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada, Waislamu zingatieni sana agizo hili

Mufti Abubakar: Katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada, Waislamu zingatieni sana agizo hili

Kama hawa viongozi wa dini wanashindwa kutetea haki za raia wao ni hatari sana!
Anyway, Bakwata ni moja ya jumuiya za ccm kama ziliyo ucccm na Uwt
 
99. Maandamano na migomo yanafanya hali kuwa mbaya zaidi
Swali 99: Wako wenye kuona pindi ummah unapofikwa na janga au mtihani basi wanaitisha migomo na maandamano dhidi ya watawala na wanazuoni ili maombi yao yaweze kusikizwa. Unasemaje kuhusu njia hizi?
Jibu: Madhara hayaondoshwi kwa madhara mengine. Kukitokea tukio lenye madhara au maovu basi halitakiwi kutatuliwa kwa maandamano, migomo au uharibifu. Huu ndio ufumbuzi. Huku ni kuzidisha shari. Ufumbuzi ni kuwasiliana na wahusika na kuwanasihi na kuwabainishia lililo la wajibu juu yao pengine wakayaondosha madhara haya. Ima waliondoshe na la sivyo wananchi wanatakiwa kufanya subira kwa ajili ya kuepusha madhara makubwa zaidi kuliko.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Ajwibah al-Mufiydah ´an As-ilat-il-Manaahij al-Jadiydah, uk. 234
Imechapishwa: 07/08/2024
taaliki: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy

Maoni yake ni kwa nchi za kidini au za kidemokrasia?
Kama ni nchi za kidemokrasia basi maandamano ndiyo sehemu mojawapo ya demokrasia hiyo
 
Mz
It's very true ni Mungu tuu!, siku zote namshukuru sana Mungu, Ben Saanane tulikuwa tunawasiliana sana in box!.
P
Mzee mwenzangu, kuna tuhuma kwamba wewe ndie uliemchoma Eric Kabendera, kwa mamlaka,

Hebu toa neno kwenye hii kadhia mkuu,
 
Kwa hiyo hata kama wanatuteka na kutuua tuendelee kuwatii?viongozi wanaokiuka miiko ya uongozi lazima wawajibishwe Kwa nguvu na siyo kuwatii
Ulitekwa lini?umeuwawa lini?
 
Katika aya inayotumiwa vibaya ni hii
Alioisema sheikh hakuna kumtii kiumbe katika kumuasi Allah
Hawa kina ssh na serikalini yao asilimia tisini na 9 pointi 9 wanamuasi Mungu wao wana pombe halali na haramu wao riba halali wao liwati ni haki za binaadam
Hawa ndio wale aliowataja mtume kuwa Kun zama zitafika za wanazuoni wa ovyo ndio zama hizi wanaiuza dini kwa thamani ndogo ya dunia
Kweli mkuu.
 
Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada

Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali.

Soma Pia: Mufti Mkuu Dkt. Abubakar: Tusisumbuliwe na fikra za Watu au kikundi cha watu. Muislamu haambiwi jambo akaenda tu, msifuate mkumbo

Source: Upendo Tv
Alichosema mufti ni sawa, ndiyo maagizo ya Quran hayo, turejee kwenye tafsiri ya Quran 4:59 inasema:-
Enyi mlio amini! Mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi. Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Hayo ndiyo bora zaidi na ndiyo yenye mwisho mwema.
 
Masheikh walioipinga serikali ya muingereza walikosea?
 
Kwa hiyo hata kama wanatuteka na kutuua tuendelee kuwatii?viongozi wanaokiuka miiko ya uongozi lazima wawajibishwe Kwa nguvu na siyo kuwatii
Kiongozi hatakiwi kuteka na wala raia hatakiwi kutekwa na wala kujiweka katika hali ya kutekwa.
 
It's very true ni Mungu tuu!, siku zote namshukuru sana Mungu, Ben Saanane tulikuwa tunawasiliana sana in box!.
P
Just be careful my brother, keep on being smart and wise, without forgetting to be cautious. Hawa watu hawa-rationalize.

Nikisoma kisa cha Kativa, naelewa ni kwa nini kina Ben Saanane tunaweza tusione kamwe hata mabaki yao - ikiwa mamba walimvutia mtoni. These people are so evil, and for what really? Bottom line ni kwamba naua watu ninaowaongoza ili niendelee kuwa kiongozi wao?

I have a feeling kuna siku mtu akiwa kwenye deathbed atakuja ku-confess na kuomba msamaha kwa aliyofanya akiogopa moto wa milele! It is just a matter of time. Yatajulikana tu.
 
Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada

Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali.

Soma Pia: Mufti Mkuu Dkt. Abubakar: Tusisumbuliwe na fikra za Watu au kikundi cha watu. Muislamu haambiwi jambo akaenda tu, msifuate mkumbo

Source: Upendo Tv
Kweli kabisa ni ibada HARAMU kuwatii viongozi wa dini na serikali walioungana kutenda na kutetea uovu ktk jamii.
 
Back
Top Bottom