Mufti Abubakar: Katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada, Waislamu zingatieni sana agizo hili

Mufti Abubakar: Katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada, Waislamu zingatieni sana agizo hili

Naunga mkono hoja
P
Mkuu Pascal, hadi utakaposikia watu wamepewa amri wakupotezee mbali wewe ni tishio kwa maslahi yao, ndipo utabadili msimamo wa kuunga mkono hoja!

In fact Mkuu, si wote wanapewa nafasi kwenda kujitetea Bungeni, wewe walikustahi sana. Wengine wanapotezewa bila kupewa fursa kama uliyopewa
 
Mufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada

Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali

Source: Upendo Tv
Mufti anasema wasiojulikana wanapotumwa kuteka na kuua ni lazima watiii, hiyo ni amri toka viongozi wa serikali!

Mufti kafanywa kitu mbaya huyu, bado akili haijamrudia, sio bure.
 
Mufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada

Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali

Source: Upendo Tv
Angeongezea na Viongozi kuwatendea Haki wananchi au wenye nchi ni Ibada
 
Mkuu Pascal, watu wamepewa amri wakupotezee mbali wewe ni tishio kwa maslahi yao

In fact Mkuu, si wote wanapewa nafasi kwenda kujitetea Bungeni, wewe walikustahi sana. Wengine wanapotezewa bila kupewa fursa kama uliyopewa
It's very true ni Mungu tuu!, siku zote namshukuru sana Mungu, Ben Saanane tulikuwa tunawasiliana sana in box!.
P
 
Mufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada

Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali

Source: Upendo Tv
Quran 4:59 in Kiswahili Kiswahili | an-Nisa' 59. Enyi mlio amini! Mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi. Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho

Wenye madaraka katika nyinyi kwa maana ya waumini
 
Kuliko kuwafunza kutii binadamu ni kheri akahimiza kutii sheria za nchi pamoja na katiba.
Quran 4:59 in Kiswahili Kiswahili | an-Nisa' 59. Enyi mlio amini! Mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi. Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho

Ukitii sheria za nchi utajikuta unatii viongozi
 
Basi sheikh Ponda huo mstari haujui 😀
Quran 4:59 in Kiswahili Kiswahili | an-Nisa' 59. Enyi mlio amini! Mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi. Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho

Aya inasema viongozi katika nyinyi waumini
 
Mufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada

Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali

Source: Upendo Tv
Source : Upendo TV ???
 
Mimi ni msabato, ila nina hakika huyu sheikh elimu ya dini ya kiislamu namzidi
 
Hatufundishwi kuwaasi VIONGOZI wetu ....VIONGOZI wa dola na watawala.....

Ukitaka kuiamsha fitna basi fanya ukaidi kwa watawala......

Namuunga mkono mufti wangu🙏

#UTAWALA HAUUZWI SOKONI😍
 
Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada

Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali.

Soma Pia: Mufti Mkuu Dkt. Abubakar: Tusisumbuliwe na fikra za Watu au kikundi cha watu. Muislamu haambiwi jambo akaenda tu, msifuate mkumbo

Source: Upendo Tv
Haya majinga yanafikiri yanamiliki akili na utashi za waumini

Baada ya kuwekeza mfukoni na serikali

2025 utayasikia yakidai mpigieni kura mwislam mwenzetu

Hii nchi imejaa majinga mengi sana
 
99. Maandamano na migomo yanafanya hali kuwa mbaya zaidi
Swali 99: Wako wenye kuona pindi ummah unapofikwa na janga au mtihani basi wanaitisha migomo na maandamano dhidi ya watawala na wanazuoni ili maombi yao yaweze kusikizwa. Unasemaje kuhusu njia hizi?
Jibu: Madhara hayaondoshwi kwa madhara mengine. Kukitokea tukio lenye madhara au maovu basi halitakiwi kutatuliwa kwa maandamano, migomo au uharibifu. Huu ndio ufumbuzi. Huku ni kuzidisha shari. Ufumbuzi ni kuwasiliana na wahusika na kuwanasihi na kuwabainishia lililo la wajibu juu yao pengine wakayaondosha madhara haya. Ima waliondoshe na la sivyo wananchi wanatakiwa kufanya subira kwa ajili ya kuepusha madhara makubwa zaidi kuliko.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Ajwibah al-Mufiydah ´an As-ilat-il-Manaahij al-Jadiydah, uk. 234
Imechapishwa: 07/08/2024
taaliki: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy
 
Back
Top Bottom