Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Mkuu Pascal, hadi utakaposikia watu wamepewa amri wakupotezee mbali wewe ni tishio kwa maslahi yao, ndipo utabadili msimamo wa kuunga mkono hoja!Naunga mkono hoja
P
Mufti anasema wasiojulikana wanapotumwa kuteka na kuua ni lazima watiii, hiyo ni amri toka viongozi wa serikali!Mufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada
Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali
Source: Upendo Tv
Angeongezea na Viongozi kuwatendea Haki wananchi au wenye nchi ni IbadaMufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada
Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali
Source: Upendo Tv
Duh...!, mimi ni tishio kwa maslahi yao akina nani hao?.Mkuu Pascal, hadi utakaposikia watu wamepewa amri wakupotezee mbali wewe ni tishio kwa maslahi yao, ndipo utabadili msimamo wa kuunga mkono hoja!
It's very true ni Mungu tuu!, siku zote namshukuru sana Mungu, Ben Saanane tulikuwa tunawasiliana sana in box!.Mkuu Pascal, watu wamepewa amri wakupotezee mbali wewe ni tishio kwa maslahi yao
In fact Mkuu, si wote wanapewa nafasi kwenda kujitetea Bungeni, wewe walikustahi sana. Wengine wanapotezewa bila kupewa fursa kama uliyopewa
Sio Ukristo, ni Uyahudi, hiyo ilikua kabla ya Kristo. Ukristo ulianza baada ya kuja Yesu Kristu.Jino kwa jino ni ukristo mkuu😂
Kisasi haki na jino kwa jino ni kitu kilekile tu,japo kisasi haki inamalizia lakini kusamehe ni bora'Kisasi ni haki ndio ya wavaa kobazi......
Quran 4:59 in Kiswahili Kiswahili | an-Nisa' 59. Enyi mlio amini! Mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi. Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya MwishoMufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada
Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali
Source: Upendo Tv
Quran 4:59 in Kiswahili Kiswahili | an-Nisa' 59. Enyi mlio amini! Mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi. Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya MwishoKuliko kuwafunza kutii binadamu ni kheri akahimiza kutii sheria za nchi pamoja na katiba.
Quran 4:59 in Kiswahili Kiswahili | an-Nisa' 59. Enyi mlio amini! Mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi. Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya MwishoBasi sheikh Ponda huo mstari haujui 😀
Source : Upendo TV ???Mufti wa Tanzania Shehe Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada
Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali
Source: Upendo Tv
Japo yesu kristu haujui na wala hakuwa mkristuSio Ukristo, ni Uyahudi, hiyo ilikua kabla ya Kristo. Ukristo ulianza baada ya kuja Yesu Kristu.
Akili kisoda hizo....Mimi ni msabato, ila nina hakika huyu sheikh elimu ya dini ya kiislamu namzidi
Haya majinga yanafikiri yanamiliki akili na utashi za wauminiMufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber amesema katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada
Hivyo Waislamu wote wanatakiwa kuwa makini kuzingatia mafundisho haya ya utii ambayo yataendelea kutolewa na Mashehe mbalimbali.
Soma Pia: Mufti Mkuu Dkt. Abubakar: Tusisumbuliwe na fikra za Watu au kikundi cha watu. Muislamu haambiwi jambo akaenda tu, msifuate mkumbo
Source: Upendo Tv