Mufti Abubakar: Katika Uislam Kutii Viongozi wa Dini na Serikali ni Ibada, Waislamu zingatieni sana agizo hili

Kama hawa viongozi wa dini wanashindwa kutetea haki za raia wao ni hatari sana!
Anyway, Bakwata ni moja ya jumuiya za ccm kama ziliyo ucccm na Uwt
 

Maoni yake ni kwa nchi za kidini au za kidemokrasia?
Kama ni nchi za kidemokrasia basi maandamano ndiyo sehemu mojawapo ya demokrasia hiyo
 
Mz
It's very true ni Mungu tuu!, siku zote namshukuru sana Mungu, Ben Saanane tulikuwa tunawasiliana sana in box!.
P
Mzee mwenzangu, kuna tuhuma kwamba wewe ndie uliemchoma Eric Kabendera, kwa mamlaka,

Hebu toa neno kwenye hii kadhia mkuu,
 
Kwa hiyo hata kama wanatuteka na kutuua tuendelee kuwatii?viongozi wanaokiuka miiko ya uongozi lazima wawajibishwe Kwa nguvu na siyo kuwatii
Ulitekwa lini?umeuwawa lini?
 
Kweli mkuu.
 
Alichosema mufti ni sawa, ndiyo maagizo ya Quran hayo, turejee kwenye tafsiri ya Quran 4:59 inasema:-
Enyi mlio amini! Mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi. Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Hayo ndiyo bora zaidi na ndiyo yenye mwisho mwema.
 
Masheikh walioipinga serikali ya muingereza walikosea?
 
Kwa hiyo hata kama wanatuteka na kutuua tuendelee kuwatii?viongozi wanaokiuka miiko ya uongozi lazima wawajibishwe Kwa nguvu na siyo kuwatii
Kiongozi hatakiwi kuteka na wala raia hatakiwi kutekwa na wala kujiweka katika hali ya kutekwa.
 
It's very true ni Mungu tuu!, siku zote namshukuru sana Mungu, Ben Saanane tulikuwa tunawasiliana sana in box!.
P
Just be careful my brother, keep on being smart and wise, without forgetting to be cautious. Hawa watu hawa-rationalize.

Nikisoma kisa cha Kativa, naelewa ni kwa nini kina Ben Saanane tunaweza tusione kamwe hata mabaki yao - ikiwa mamba walimvutia mtoni. These people are so evil, and for what really? Bottom line ni kwamba naua watu ninaowaongoza ili niendelee kuwa kiongozi wao?

I have a feeling kuna siku mtu akiwa kwenye deathbed atakuja ku-confess na kuomba msamaha kwa aliyofanya akiogopa moto wa milele! It is just a matter of time. Yatajulikana tu.
 
Kweli kabisa ni ibada HARAMU kuwatii viongozi wa dini na serikali walioungana kutenda na kutetea uovu ktk jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…