V Vumilika JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 1,748 Reaction score 2,127 Sep 17, 2024 #61 Missile of the Nation said: Sasa kwani waingereza walikuwa ni majini? Click to expand... Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania ndiyo miongoni mwetu, lakini viongozi wa serikali ya muingereza si katika sisi na ndiyo maana iliondoka na kutaachia nchi yetu.
Missile of the Nation said: Sasa kwani waingereza walikuwa ni majini? Click to expand... Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania ndiyo miongoni mwetu, lakini viongozi wa serikali ya muingereza si katika sisi na ndiyo maana iliondoka na kutaachia nchi yetu.