Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

Khaaa niseme salam zinatoka kwa nani..?
Mana ndo chimbo langu hilo hata kesho naenda pale kuchukua mzigo
Ahahhah mwambie mteja tu mkuu, usisahau kupitia samaki kau kau wa kukaanga kwenye sinia, pale mbele kuna mwamba anawapepea nzi kwa mkono.
 
Ahahhah mwambie mteja tu mkuu, usisahau kupitia samaki kau kau wa kukaanga kwenye sinia, pale mbele kuna mwamba anawapepea nzi kwa mkono.
Huyu mzee nimetoka hapa sasa hivi. Kafunga MOTISHA..
Huyo wa samaki nae bado mpaka juoni ndo anakuepo....
Pembeni yake kuna wale wa maziwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu mzee nimetoka hapa sasa hivi. Kafunga MOTISHA..
Huyo wa samaki nae bado mpaka juoni ndo anakuepo....
Pembeni yake kuna wale wa maziwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
Hahaha nimecheka sana mkuu, kuna na wasukuma pale wamefungua genge wapo? ndizi za elfu 1 kukuandalia mpaka kukukabidhi na change yako inachukua kama nusu saa hivi, ila watu wanajilipua sana yale maziwa ni ya ng'ombe kweli?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…