Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

Mufti athibitisha kuandama kwa mwezi Eid kesho, kesho April 10,2024

Mwezi umeonekana kote duniani Jana tarehe 8 April 2024. Je huu wa Leo ni WA Dunia gani. Imebidi watangaze tu Ili kuficha aibu ya dini Bado Ina mambo ya kale ya kuangalia mwezi angani wakati Dunia ya Sasa inaendeshwa Kwa Sayansi na teknolojia.
The moon and the crescent are two different things. Waislamu wanafunga na kufungua kwa kiangalia kitu kwa kiarabu kinaitwa هلال (crescent)na hawaangalii قمر (moon) na kilichoonekana jana ni moon na siyo crescent.
 
Huu mwezi ulioonekana leo una tofauti na ule ulionekana jana kule America wakati wa kupatwa kwa jua?
adriz
The moon and the crescent are two different things. Waislamu wanafunga na kufungua kwa kiangalia kitu kwa kiarabu kinaitwa هلال (crescent)na hawaangalii قمر (moon) na kilichoonekana jana ni moon na siyo crescent.
 
Hivi Zbr wana Mufti wao kwanini huyu anajiita Mufti wa Tanzania kwanini asijiite Mufti wa Tanganyika

Huyo kaekwa na mfumo wa bakwata ya Nyerere ambayo ni kitengo cha usalama wa Taifa
 
Back
Top Bottom