Mufti inasikitisha kwa kuweka uchawa mbele. Anaongelea amani lakini kajisahaulisha kwenye chaguzi huru, haki , utekaji kama vile kila kitu ni sawa.
Sio kweli tatizo la Amani litapindishwa na Haki. kuibia kura za wananchi chama kimoja hapo wananchi wakifanya fujo hilo sio tatizo la wananchi tena ni mfumo wa ukandamizaji.
Wananchi wanachoka hawawezi kukubali kutawaliwa na watu wasio wachagua wakaona ni powa tu. Kama unataka Aamani pigania kwanza haki. Popote Duniani vita inaletwa na wapigania haki
View: https://youtu.be/k52JE4VI7iA?si=F29L73SJ70HDY9S4