inasikitisha lakini ni chawa naye. Uchawa ni unafiki sasa kujisahaulisha ili Raisi afurahi sio uchawa ni nini?. Unaheshimiwa kwa vitendo vyakoKwahiyo Naye Ni Chawa Pro Max
Watu bwana kasema amani huku akisahau neno HAKI.Mufti inasikitisha kwa kuweka uchawa mbele. Anaongelea amani lakini kajisahaulisha kwenye chaguzi huru, haki , utekaji kama vile kila kitu ni sawa.
Sio kweli tatizo la Amani litapindishwa na Haki. kuibia kura za wananchi chama kimoja hapo wananchi wakifanya fujo hilo sio tatizo la wananchi tena ni mfumo wa ukandamizaji.
Wananchi wanachoka hawawezi kukubali kutawaliwa na watu wasio wachagua wakaona ni powa tu. Kama unataka Aamani pigania kwanza haki. Popote Duniani vita inaletwa na wapigania haki
View: https://youtu.be/k52JE4VI7iA?si=F29L73SJ70HDY9S4
mlinzi binafsi wa heche kumpiga kiongozi mwanamke wa Chadema kama burukenge ndio hakiee, right gentleman?πMufti inasikitisha kwa kuweka uchawa mbele. Anaongelea amani lakini kajisahaulisha kwenye chaguzi huru, haki , utekaji kama vile kila kitu ni sawa.
Sio kweli tatizo la Amani litapindishwa na Haki. kuibia kura za wananchi chama kimoja hapo wananchi wakifanya fujo hilo sio tatizo la wananchi tena ni mfumo wa ukandamizaji.
Wananchi wanachoka hawawezi kukubali kutawaliwa na watu wasio wachagua wakaona ni powa tu. Kama unataka Aamani pigania kwanza haki. Popote Duniani vita inaletwa na wapigania haki
View: https://youtu.be/k52JE4VI7iA?si=F29L73SJ70HDY9S4
Ndugai alipomtandika bakora mgombea mwenzake ilikuwa AMANIπ³π³π³mlinzi binafsi wa heche kumpiga kiongozi mwanamke wa Chadema kama burukenge ndio hakiee, right gentleman?π
ni muhimu zaidi kuangazia kwa umakini zaidi nia na madhumuni ya genge la kihalifu chini ya heche, kuwalenga na kuwaumiza vibaya na kuwadhalilisha viongozi wanawake wa Chadema ni nin hasa gentleman?Ndugai alipomtandika bakora mgombea mwenzake ilikuwa AMANIπ³π³π³
Maua yako lazima upeweππππππUkidai haki, Unaitwa mjenga chuki na mvuruga amani .
Aman itunzwe dhidi ya utekaji, mauwaji na wizi wa kura unaoendelea?Mufti inasikitisha kwa kuweka uchawa mbele. Anaongelea amani lakini kajisahaulisha kwenye chaguzi huru, haki , utekaji kama vile kila kitu ni sawa.