watajua wenyewe sisi tuko na dua ya kumwombea Lisu,no reforms no electionMufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
View attachment 3307011
Proffesional yake kbs miaka amekuwa akiwafanyia watu tibaMufti Zuberi ni chawa kama chawa wengine tu, anawaabisha Waisalamu.
Panda aise kichwa sanaMufti Zuberi ni chawa kama chawa wengine tu, anawaabisha Waisalamu.
Wacha tu aanze kuwagawa waTanzania kidini, maana sasa hivi kila kitu na kwake, "you are bored of stability"Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3307011
Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3307011
Sisi Sheikh Tunayemjua Ni PondaMufti Zuberi ni chawa kama chawa wengine tu, anawaabisha Waisalamu.
Apewe cheo cha Chawa Mwandamizi aka Principle ChawaMufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3307011
Kumbe katazo lililenga chadema pekeyake (sijasema vyama pinzani magumashi).Tusichanganye dini na siasa
Halafu huwa hawaombi haki. Wakati dini msingi wake mkuu ni haki. Wamekatazwa kuomba haki
shekhe bahashaMufti Zuberi ni chawa kama chawa wengine tu, anawaabisha Waisalamu.