PreGE2025 Mufti Mkuu Abubakar bin Zuber kuongoza Dua ya Kumuombea Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hapo hitasikia dini na siasa🤣🤣
 
Kama huyo ndio mufti wa Tanzania na Akili ndio hiyo sijui waliobakia yaani wale anaowaongoza wakoje.
 
Kuna Utapeli mwingi kupitia dini. Na matapeli namba moja kwenye dini ni hawa mashekhe wa BAKWATA. BAKWATA ilianzishwa na Serikali kwa malengo ya kisiasa, na imebakia hivyo mpaka leo.
Ni washenzi tu na wahuni kama wahuni wengine tu.
 
Huyu si kuna madai eti nae ni Mjomba.
Hamna kitu...sema ukishakuwa muft ndy automatically unakuwa na mfumo
Mwanzoni shuguli yake kubwa ilikuwa tiba,dua anawafanyia watu hPo kwake ufipa mtaa kilingeni

Ova
 
Ewe ndugu mwanaume wa kiislam, je yaruhusiwa mwanamke kukutawala? Au ni shetani kamzidi nguvu Allah.

Sipo kwa ajili ya ugomvi nataka kueleweshwa.
 
Kwa hiyo 'chura kiziwi' kuombewa dua na viongozi wa dini siyo kuingilia siasa ila hao hao viongozi wa dini wakimkosoa wanadaiwa kuingilia siasa !!!
 
well done mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally , kwa maono ya mipango yenye nia njema kwa viongozi wa serikali na viongozi wa dini nchi,

Allah akupe afya njema na maisha marefu
 
Hapa muda si mrefu Mungu anaingilia kati kama alivyofanya Machi, 2021. Unafunga watu kwa dhuruma, unaua na kupoteza vijana halafu uombewee, ahh wapi.
 
Ni wakati sasa Waislam mnaojitambua mkaachana kabisa kufungamana na Bakwata ambao hawana tofauti na UVCCM, UWT, CWT, nk.

Nadhani Shura ya Maimamu ndiyo wanastahili kabisa kuwa wawakilishi halali wa Waislam nchini.
 
Upuuzi
 
Safi kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…