Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kama anawatetea nenda na wewe wakupe mic uteme nyongo zako zilizojaa tumboni,umeshinda njaa mwezi mzima bado mweupe kiimani huna kilichoongezeka tafuta nguruwe ilipo ule ufunge kazi.anawatetea wagalatia !!!hao hata humu Jf wanaongoza kwa matusi na dhiaka kwa waislam
asante sana alhaj Abubakary Zuberi bin Ally Mbwana, mufti mkuu wa Tanzania kwa ukweli huo.Shekhe Mkuu na Mufti wa Tanzania, Dkt, Abubakar Zuber Bin Ally, amesema kuwa hakuna ukweli katika taarifa zinazosambazwa kwenye Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii zinazoashiria kuwa Wakristo wanawatukana au kuwafanyia fujo Waislam.
Mufti Zuber ameeleza hayo leo wakati akizungumza kwenye Baraza la Eid el Fitri Kitaifa, linalofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), huku akiongeza kuwa Jamii hizi mbili zimekuwa zikiishi kwa Amani na Mshikamano kwa muda mrefu, na kusisitiza kuwa hakuna hata tukio la aina hiyo lililowahi kuthibitishwa kutokea Nchini.
Aidha, ameonya kuhusu matumizi mabaya ya teknolojia ya Akili Mnemba (AI), akisema kuwa baadhi ya watu wanaitumia kuzalisha taarifa za uongo zenye lengo la kuchochea chuki na migogoro ya kidini, na kuwataka Waislam na Wakristo kuendelea kudumisha Amani, kutopotoshwa na taarifa hizo, na kuepuka kuchokozeka ili kulinda mshikamano uliopo katika jamii.
Katumia hekima tu kama kiongozi. Lkn ndugu zetu wakiristo wa jf wanachuki na uislam na waislam. Angalia vita vya mashariki ya katianawatetea wagalatia !!!hao hata humu Jf wanaongoza kwa matusi na dhiaka kwa waislam
Huwa naona kama kwa jf wewe ndio huwa una chagiza mada za kuzua chuki na kejeli🤔Katumia hekima tu kama kiongozi. Lkn ndugu zetu wakiristo wa jf wanachuki na uislam na waislam. Angalia vita vya mashariki ya kati
Ni vile walokole tunawavungia tu ila hawa wanaweza kuwa chachu ya fujoIkitokea shida ya kidini kwenye jamii yoyote wachochezi hawawezi kuwa wakristo.
Ndio wachochezi wakubwa wakristoIkitokea shida ya kidini kwenye jamii yoyote wachochezi hawawezi kuwa wakristo.
Hivi kuna mtu anaongoza kuwatukana Wakristo kama Muislamu mwenzako THE BIG SHOW ?anawatetea wagalatia !!!hao hata humu Jf wanaongoza kwa matusi na dhiaka kwa waislam
huyo sio muislam..na ukiona anayejiita mkristo anautukana uislam huyo sio mkristo hvo kwa mwislam..kwani kuna aya inawajulisha waislam kwa kuwaambia waliokaribu na waislam ni wakristo na wanaswala..hawa ni marafiki na ndugu wa muda mrefu.Hivi kuna mtu anaongoza kuwatukana Wakristo kama Muislamu mwenzako THE BIG SHOW ?
Huwezi kukuta mroma,anglikana au mlutheri anaongelea vibaya au kutukana uislam,shida kwa hawa wenye madhehebu mapya ya wanaoswali kwenye makanisa ya mabatiKatumia hekima tu kama kiongozi. Lkn ndugu zetu wakiristo wa jf wanachuki na uislam na waislam. Angalia vita vya mashariki ya kati
Na mwenzake THE BIG SHOWHuwa naona kama kwa jf wewe ndio huwa una chagiza mada za kuzua chuki na kejeli🤔
Sijawahi kumsoma huyo mkuuNa mwenzake THE BIG SHOW
Pumbavuanawatetea wagalatia !!!hao hata humu Jf wanaongoza kwa matusi na dhiaka kwa waislam
Search uone mada zake dhidi ya ukristo hasa RC.Sijawahi kumsoma huyo mkuu
Wenye mrengwa wa kichawa huwa siwafuatilii bwashee 😅Search uone mada zake dhidi ya ukristo hasa RC.
Wanaswara ni kina nani na wakristo ni kina naniWaliokaribu zaidi na Waislam ni Wakristo na Wanaswala..kwawale wasomi wa vitabu mtanikumbusha ni aya ya ngapi...Shekhe yupo sahihi.