Mufti Mkuu Abubakar: Mkristo hawezi mfanyia fujo Muislam

Katumia hekima tu kama kiongozi. Lkn ndugu zetu wakiristo wa jf wanachuki na uislam na waislam. Angalia vita vya mashariki ya kati
Angalia hata wewe unaonyesha chuki zako badala uandike wakristo huwa unaandika wakiristo
 
Aidha, ameonya kuhusu matumizi mabaya ya teknolojia ya Akili Mnemba (AI), akisema kuwa baadhi ya watu wanaitumia kuzalisha taarifa za uongo zenye lengo la kuchochea chuki na migogoro ya kidini, na kuwataka Waislam na Wakristo kuendelea kudumisha Amani, kutopotoshwa na taarifa hizo, na kuepuka kuchokozeka ili kulinda mshikamano uliopo katika jamii.
Lugha za ulaghai ni jadi ya baadhi ya watu.

Huyu hajawahi kusikia mahubiri mitaani na baadhi ya misikiti kwenye spika. Hiyo nayo ni kwa sababu ya Akili Unde?
 
Kuna watu wanalewa humu hadi wanakosea kuandika kila neno nasema labda bahati mbaya cha ajabu anakosea kila post na kinachoandikwa akiendani na mada
Hahahaa ndivyo pombe zilivyo mkuu , onja siku moja upate uzoefu mpya😀
 
Kila linapojadiliwa swala la uhasama/chuki kati ya wanadini ndio tafakuri ya kina kuhusu imani inanijia

TEC wanawaongoza vizuri sana waumini wao. Kwa wakatoliki hutokaa usikie kejeli, majigambo wala wakianzisha chuki dhidi ya wanadini au madhehebu mengine, wao "kibonde" wao au "mbabe" wao huwa ni serikali tu japo baadhi ya watu (wavivu wa kufikiri/wenye elimu mbalimbali) ikitokea kukemeana kati ya TEC na Serikali wao hukimbilia kulipeleka mlengo wa kidini japo kiuhalisia wao hawajawahi kuwa na ugomvi na wanadini wenzao. Hili liko hivyo na siku zote litabaki kuwa hivyo

Siku ukibahatika kusikiliza mahubiri ya wasabato na mafundisho yao kwa ujumla ndipo utajua ukubwa wa wakatoliki.

Kwanini huwa nikisikia hii mijadala ya chuki za wanadini tafakuri inakuwa kubwa zaidi?

Sababu ni moja tu!

Walioeneza dini ulimwenguni kwa asilimia kubwa ni wakatoliki na ukiisoma historia vizuri inasemekana hata Uislam umetoka ndani ya Ukatoliki (hii ni historia; yaweza kuwa kweli au zaweza kuwa story), hivyo basi wao wanaijua dini vizuri sana na kwa bahati mbaya au nzuri katika soma soma zao hakuna wanachoacha! Wanasoma chimbuko la dini zote unazozijua

Nadhani ndiomaana hawajihangaishi na propaganda za chuki za kidini! Wao "propaganda zao" zinakuwaga na serikali tu

Hii yote ni kwasababu ya elimu, wanajua wanachokifundisha, wanajua kinachofundishwa na kwanini kinafundishwa hivyo na matokeo yake ni nini. Kanisa katoliki ndio mama wa dini zote ndiomaa haulikuti kwenye malumbano ya kidini

Siku dini nyingine zikilijua hili, hakutakuwa na sababu ya kupingana au kugombana kisa imani ya dini

Dini kama kweli ni njia ya kumpeleka muumini kwa Mungu, wewe chuki ya kumchukia asiyeitaka imani yako inatoka wapi? Kama hataki kwenda mbinguni unakotaka kwenda wewe kwanini umchukie?
 
Islamic vs Christianity sahivi ni kama utani wa jadi especially hapa JF wanaoteseka ni wale extremists
 
anawatetea wagalatia !!!hao hata humu Jf wanaongoza kwa matusi na dhiaka kwa waislam
wakristo si watu wa shari na hawana munkari. Hawa wa humu huwa wamenyooka katika hoja zao, pangua hoja bila jazba
 
Kila linapojadiliwa swala la uhasama/chuki kati ya wanadini ndio tafakuri ya kina kuhusu imani inanijia

TEC wanawaongoza vizuri sana waumini wao. Kwa wakatoliki hutokaa usikie kejeli, majigambo wala wakianzisha chuki dhidi ya wanadini au madhehebu mengine, wao "kibonde" wao au "mbabe" wao huwa ni serikali tu japo baadhi ya watu (wavivu wa kufikiri/wenye elimu mbalimbali) ikitokea kukemeana kati ya TEC na Serikali wao hukimbilia kulipeleka mlengo wa kidini japo kiuhalisia wao hawajawahi kuwa na ugomvi na wanadini wenzao. Hili liko hivyo na siku zote litabaki kuwa hivyo

Siku ukibahatika kusikiliza mahubiri ya wasabato na mafundisho yao kwa ujumla ndipo utajua ukubwa wa wakatoliki.

Kwanini huwa nikisikia hii mijadala ya chuki za wanadini tafakuri inakuwa kubwa zaidi?

Sababu ni moja tu!

Walioeneza dini ulimwenguni kwa asilimia kubwa ni wakatoliki na ukiisoma historia vizuri inasemekana hata Uislam umetoka ndani ya Ukatoliki (hii ni historia; yaweza kuwa kweli au zaweza kuwa story), hivyo basi wao wanaijua dini vizuri sana na kwa bahati mbaya au nzuri katika soma soma zao hakuna wanachoacha! Wanasoma chimbuko la dini zote unazozijua

Nadhani ndiomaana hawajihangaishi na propaganda za chuki za kidini! Wao "propaganda zao" zinakuwaga na serikali tu

Hii yote ni kwasababu ya elimu, wanajua wanachokifundisha, wanajua kinachofundishwa na kwanini kinafundishwa hivyo na matokeo yake ni nini. Kanisa katoliki ndio mama wa dini zote ndiomaa haulikuti kwenye malumbano ya kidini

Siku dini nyingine zikilijua hili, hakutakuwa na sababu ya kupingana au kugombana kisa imani ya dini

Dini kama kweli ni njia ya kumpeleka muumini kwa Mungu, wewe chuki ya kumchukia asiyeitaka imani yako inatoka wapi? Kama hataki kwenda mbinguni unakotaka kwenda wewe kwanini umchukie?
"Inasemekeana hata walioanzisha uislam ni wakatoliki"
POROJO hizi muwa mnaandika FB.
 
Pumbavu peleka mataputapu yako huko kanisani kwa makondoo
Hao mashoga wa TEC huwa wanawashwa nini akiwa Raisi muislamu???

1774139377089.png
 
Katumia hekima tu kama kiongozi. Lkn ndugu zetu wakiristo wa jf wanachuki na uislam na waislam. Angalia vita vya mashariki ya kati
Kwani Mashariki ya Kati kuna vita ya kidini? Nyie ndo mnakesha humu mkisema Israel siyo Wakristo, Sasa huo vita ya uislam na ukristo inatoka wapi? Yaani Irani akipigana wanakuwa wamepigana Waislamu wote?
 
Back
Top Bottom