AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
The Icebreaker njoo huku utoe maelezoKatumia hekima tu kama kiongozi. Lkn ndugu zetu wakiristo wa jf wanachuki na uislam na waislam. Angalia vita vya mashariki ya kati
Tupe na takwimu za dunia nzimaZanzibar ndiyo inaongoza kwa mashoga katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na 99.9 ya Wazanzibari ni Waislam. Hata huku bara idadi kubwa ya ******* ni Waislam.
Za dunia nzima sina mkuu wangu.Tupe na takwimu za dunia nzima
Samahani lakini chief
Kweli kabisa hakuna. Ila basi tu wakina Malaria 2 wenyewe hua wanakengeuka humu kwenye kuwarudisha kwenye mstari hua hatuwashikii fimboAbubakar Zuber Bin Ally, amesema kuwa hakuna ukweli katika taarifa zinazosambazwa kwenye Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii zinazoashiria kuwa Wakristo wanawatukana au kuwafanyia fujo Waislam.
Bwashee , mbona umekimbilia kuomba msamaha😆Tupe na takwimu za dunia nzima
Samahani lakini chief
Nionekane nimekuja kwa amani ili nisishambuliweBwashee , mbona umekimbilia kuomba msamaha😆
😅😅😅 hivi ni kwanini jf watu hawajuani ila kushambuliana kumezidiNionekane nimekuja kwa amani ili nisishambuliwe
Sasa unaweza ukamshambulia mtu unayejuana naye🤣🤣😅😅😅 hivi ni kwanini jf watu hawajuani ila kushambuliana kumezidi
Hili ni kweli Bwashee, ila humu kila mtu ni mkuu tu , tukionana live nafikiri kuna namna tutaogopana😅Sasa unaweza ukamshambulia mtu unayejuana naye🤣🤣
Halafu sisi wengine humu ni watoto wa juzi tu ila tunapata ujasiri wa kuwafokea hata waliowazidi wazazi wetu kwa umri
Hususani sisi wachanga tukikutana na wastaafu tuliokuwa tunawatukana humuHili ni kweli Bwashee, ila humu kila mtu ni mkuu tu , tukionana live nafikiri kuna namna tutaogopana😅
😁hakuna mtoto humu bwashee, japo wapo ambao bado hawajapevuka akili , mimi kanuni yangu mtu asilete kichaa chake hasa akikukuta na vitu vyangu kichwani tu😆Hususani sisi wachanga tukikutana na wastaafu tuliokuwa tunawatukana humu
Kwa hiyo na wewe kuna muda unapost ukiwa umelewa🤣😁hakuna mtoto humu bwashee, japo wapo ambao bado hawajapevuka akili , mimi kanuni yangu mtu asilete kichaa chake hasa akikukuta na vitu vyangu kichwani tu😆
Chizi karogwa tenaasante sana alhaj Abubakary Zuberi bin Ally Mbwana, mufti mkuu wa Tanzania kwa ukweli huo.
ALLAH AKUPE MAISHA MAREFU ZAIDI
Wewe unajiona mjanja mtandaoni, maneno mengi punga wewe
IndeedKwa hiyo na wewe kuna muda unapost ukiwa umelewa🤣
Humu kuna muda kabisa naona hizi post zimewekwa wakati watu wamelewa sana kuanzia saa sita usikuIndeed
Hahaha mimi huwa silewi usiku mkuuHumu kuna muda kabisa naona hizi post zimewekwa wakati watu wamelewa sana kuanzia saa sita usiku
***** kama ***** nilijua utarudi na mbaambaa fisimajiHuna lolote tulia na Makebo yako makubwa hayo,maneno meengi humu kumbe mweupe.