Takbir inatamkwa wakati wa "vita"! Sasa vita iko wapi...Takbir Takbir Takbir!!
Vita ya kuchinja Ng'ombe,mbuzi,kitifire nkTakbir inatamkwa wakati wa bita! Sasa vita iko wapi
Takbir! Takbir, Takbir!Vita ya kuchinja Ng'ombe,mbuzi,kitifire nk
Vita ni vita muraaaa!!
20/7/2021
Alahu akubaruTakbir Takbir Takbir!!
Wanaomuamini Allah waendelee kuamuni.. na wanaomuamini mufti waendelee kumuamini.Mufti na Sheikh mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana anapenda kuchukua Fursa hii kuutangazia Umma kuwa Sikukuu ya Eid El-adh'haa itakuwa tarehe 21 /07/2021 siku ya Jumatano ambayo ndiyo itakuwa siku ya mapumziko kitaifa.
View attachment 1850864
idd ni 20/7/2021 woldwideMufti wetu bhwana
Sisi Ansaar ni siku ya Jumanne in shaa Allah
Kwa sie kwa wengine wenye misimamo tofauti ndo hiyo 21.idd ni 20/7/2021 woldwide