Mufti Mkuu ametangaza kuwa Sikuu ya Eid El-adh'haa itaadhimishwa Julai 21, 2021

Mufti Mkuu ametangaza kuwa Sikuu ya Eid El-adh'haa itaadhimishwa Julai 21, 2021

Hadi hapa mtoa mada kapata muongozo sahihi
 
Kwa nini serikali isitambue na wale answar sunna maana wao wanaamini sikukuu ni kesho, ila wanalazimika kwenda kazini kwa sababu serikali inafuata sikukuu iliyotangazwa na bakwata....ni bora wangefikiria kuweka siku mbili ili kuweza kuwa accommodate wote..
 
Sasa Kama Waislamu wa Tanzania wenyewe wameshindwa kuelewana na kusheherekea siku yao pamoja, Serekali itawasaidiaje hapo!?
 
Mufti na Sheikh mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana anapenda kuchukua Fursa hii kuutangazia Umma kuwa Sikukuu ya Eid El-adh'haa itakuwa tarehe 21 /07/2021 siku ya Jumatano ambayo ndiyo itakuwa siku ya mapumziko kitaifa.

View attachment 1850864
Afande Sele bado mzima?
 
Back
Top Bottom