Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Naona kuwa wangetaka kudai labda kipindi cha Mkapa au wangetime muda mwingine au kwa kuwa na rais mkristo, but the way sidhani kwamba Jk ataweza kufanya suala hili ni kwamba anaogopa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkandara,
Sasa huko nyuma tulikuwa tunapishana sijui wapi. Nimesoma hadi naanza kupata wasiwasi kama ni wewe umeandika au kosa ni langu huko nyuma nilikuwa sikuelewi/ulikua hueleweki. Nakiri kuwa sasa nimekuelewa na nakiri kuwa unaongelea swala moja muhimu sana. Ila bado naona hili inabidi lihukumiwe katika mahakama za kawaida. Mtoto HARAMU akiachwa pembeni, basi zipimwe DNA (kama mtoto wa Omary Mahita) na ikigundulika kuwa ni mtoto wake, basi jamaa abebeshwe ghalama na ikibidi faini juu kwa kumtelekeza mtoto wake huyo.
Mengineyo kakubaliana kuwa BAKWATA kweli wana utata. Huo ni kama umoja wa CCM ila kwa Waislam vile .....
Kiini cha madai ya "tumeahidiwa CCM itaanzisha mahakama ya kadhi" ndiyo mstari huo. Mtu yeyote makini anaweza kuona pasipo shaka kuwa CCM haikuwaahidi Waislamu kuwa serikali itaanzisha mahakama ya kadhi. Kwa kadiri watu wanazungumza ni wazi hakuna aliyesoma hasa CCM imeahidi nini.Kulipatia ufumbuzi suala la kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara.
Kuzifanyia marekebisho sheria za mirathi na zile zinazoonekana kuwakandamiza wanawake.
.Hapa nina wasiwasi na shule ya mufuti. Nafikiri amekuwa mzembe wa kufikiri na ameongozwa na hisia. Ningeomba atushauri kuichukia ccm tu kwa sababu imetutia umaskini, lakini sio kwa sababu ya mahakama ya kadhi.
.
Mufti yuko sawa, kwa Muislam yoyote anajua umuhimu wa mahakama ya kadhi, kwa asiye kuwa
Muislamu haimuhusu, kubakia kama mtazamaji tu!
.katika hili BAKWATA Imepata fursa muhimu sana ya kurejesha imani kwa WAISLAMU.Ni kweli kabisa kila kundi linapaswa kuwa na msimamo huo ikiwa halijatekelezewa matakwa yake. hii itatusaidia kupata viongozi bora na kuleta maendeleo.
Lakini je BAKWATA inaungwa mkono na asilimia ngapi ya waislamu? maana kama haiungwi mkono huo mkwara hauna maana. Maelezo ya Mkandara hapo juu yanaonyesha BAKWATA inatizamwa tofauti na waislamu walio wengi, sijui wenzangu mnalionaje hili? waislamu ni wamoja kiasi hicho?
hii ni kweli. Sasa wanapoipeleka Bungeni wale wasio Waislamu watoke Bungeni?
Kwanza hii maana yake ni kuwa wakati wa kulijadili hili swala bungeni, wabunge wasio Waislamu wakae kimya - wafunge midomo yao kwa sababu hili swala haliwahusu. Jaribio la kuwanyamazisha watanzania wasio Waislamu kuongelea swala hili tunalishuhudia hadi humu ndani ya JF kwa kigezo kuwa ni mbumbumbu kwa maswala ya Kiislamu hasa yanayohusu Sharia na mahakama ya kadhi. Sasa kama ni hivyo kwa nini swala hili linalohitaji mabadiliko ya kikatiba lipelekwe bungeni ? Je, litaundwa kamati ya bunge ya Waislamu watupu kulijadili ?
.
Mufti yuko sawa, kwa Muislam yoyote anajua umuhimu wa mahakama ya kadhi, kwa asiye kuwa
Muislamu haimuhusu, kubakia kama mtazamaji tu!
hii ni kweli. Sasa wanapoipeleka Bungeni wale wasio Waislamu watoke Bungeni?
Kinachoshangaza ni kwamba ujerumani inafanya jitihada za kuwa karibu na waislam lakini nchi kama TZ second user wa dini wanapinga kutafuta njia muafaka wa kutoa maamuzi yatakayo onyesha hawaja sukumwa na upande fulani!!!!!!!!!. Naona tumefika pabaya kwani mimi huwa naamini Katika waafrika basi wa TZ ni wastaarabu, but on that issue wamechemsha and mbaya zaidi alie toa maamuzi amejenga tabaka ambalo litakua linahisi ni watu baki...Na laweza hatarisha usalama wa nchi. Kwani waislam la wakiristo hawana tabu ila viongozi jamaniii, hawajui jinsi yakupinga kitu au kutoa maamuzi yenye kuleta tija kwenye taifa letu.
Mimi naona mfumo waelimu zetu unapelekea watu kutokua waadilifu, kwani hata mtu akifanya tafiti anakua bias kwenye maamuzi, as results anatuletea matatizo tusiojua kinachoendeleaaaa, Jamani kudesa kubaya kwani siku zote utakua unatoa majibu ambayo ni msukumo wa mawazo yakoooooooooooo. Let science speek!!!! . Sirikali engeweza toa haja kua gharama za kuendesha chombo hicho si juu ya serikali na sirikali itahakikisha hamna kinachofanyika ndani ya chombo hicho kinyume na katiba ya nchi, from there you raise discussions............hope could work, lakini Maaskofu na heshima zao wakaanza nao kutoa amri na kuiweka sirikali pabaya na nchi kwa ujumla, tunaenda pabaya jamani tuaamke, kwani hawa viongozi wadini wasifikiri yatakapo tokea machafuko nchini wao watasalimika, itakula wote, kama si kiongozi wa dini au nchi basi ndugu yake ....
Jamani tudumishe umoja wetu na tuaache kusukumwa na matamanio ya nafsi zetu, natusilipeleke suala kama hili ki ushabiki wa ya yanga na simba... tutaishia pabayaaaaaaaaaaaaa.
Mungu ibariki Tanzania
Soma maelezo yangu vizuri . Kwangu mimi huo unatakiwa uwe mjadala ili kuona nani anatakiwa abebe gharama? Ama kuunda mahakama ya kadhi nafiri ni waislamu ndo wanatakiwa kufanya hivyo but wakisimamiwa na sirikali
Soma maelezo yangu vizuri . Kwangu mimi huo unatakiwa uwe mjadala ili kuona nani anatakiwa abebe gharama? Ama kuunda mahakama ya kadhi nafiri ni waislamu ndo wanatakiwa kufanya hivyo but wakisimamiwa na sirikali
Mkuu ninatakaniamini kuwa hujaelewa msimamo wa makasisi na taasisi za Kikristo. Wanachokataa ni kadhi kuingizwa kwenye katiba ya nchi, siyo kuanzishwa kwa kadhi. Waislamu wanaweza kuanzisha mahakama hiyo bila kuulizwa na Wakristo au wasio na dini. Mkuu, kinachopingwa ni kadhi kuingizwa kwenye katiba ya nchi.
Kwani mahakama inatakiwa kuundwa bungeni?
Mimi nafikiri kinachotakiwa ni waislamu waunde mahakama ya kadhi kama katiba inaruhusu, na kama katiba ya nchi inaruhusu ni haki yao kuwa na chombo kama hicho bila kuvunja sheria za nchi.
Otherwise kusema kiwango cha elimu ni ndogo haisaidii sana
, kwani hata aliekua hajasoma anatakiwa aeshimiwe , na mawazo yake kwakua kusoma nayo ni relative kwani Prof. wa mifupa hawezi kua mtoa hoja mzuri wa kutengeneza tekinolojia ya kusukuma dawa kwa kutumia electronic siringe lakini aweza toa wazo ambalo hata ambae hajaenda shule fundi mekanika wa kule sinza na likawa na maana likifanyiwa kazi na wataalamu wa fani husika(wahandisi).
Unapojadili suala hili jaribu tu kuonyesha constructive idea itakayo kua na manufaa kuliko kuonyesha umesoma na ni hodari wa kujenga hoja za kisomii.
Nakuunga mkono kwenye kipengele kua waislamu waunde chombo hicho wenyewe but tumia kauli nzuri kama kawaida ya mtanzania