maisha magumu mbona ata hapa bongo yapo ndugu hiv zile meli 60 kama zingelipa kodi zahanati ngapi zingejengwa,madawati magapi yangenunuliwa,dawa za wagonjwa kiasi gani zinge nunuliwa kuboresha huduma ya afya
sasa kuna tofauti gani hapo na zimbambwe kiongozi ebu nisaidie aise SSRA wanalipa kodi 600bill kwa mwaka ukizidisha mara mbili unapata pesa tulizonyimwa kutoka MCC
@_@President Robert Mugabe funn..
A speech by Zimbabwean President Robert Mugabe:
"Racism will never end as long as white cars are still using black tyres. Racism will never end if people still use black to symbolise bad luck and white for peace. Racism will never end if people still wear white clothes to weddings and black clothes to funerals.
Racism will never end as long as those who don't pay their bills are blacklisted not whitelisted. Even when playing snooker. You haven't won until you've sunk the black ball, and the white ball must remain on the table.
But I don't care, as long as I'm still using white toilet paper to wipe my black butt , I'm fine!"..
White toilet paper can rape your *ss unknowingly
kiongozi umemaliza kila kitu aise alafu tunasema zimbabwe wana maisha magumu wakati tuko sawa tena inawezekana akawa ametuzidi maana GDP yetu ktk bara zima la afrika ni ya chini kuliko inchi yeyote ata zile zenye vifa mf congo,sudan wametuzidiHawa wote ndio wateule wa mkweree; wao kauli mbiu yao ilikuwa " PONDA MALI KUFA KWAJA" baada ya boss wao kugundulika alikuwa na maradhi ya tezi dume!!
Huyu mzee anajielewaga sanaPresident Robert Mugabe funn..
A speech by Zimbabwean President Robert Mugabe:
"Racism will never end as long as white cars are still using black tyres. Racism will never end if people still use black to symbolise bad luck and white for peace. Racism will never end if people still wear white clothes to weddings and black clothes to funerals.
Racism will never end as long as those who don't pay their bills are blacklisted not whitelisted. Even when playing snooker. You haven't won until you've sunk the black ball, and the white ball must remain on the table.
But I don't care, as long as I'm still using white toilet paper to wipe my black butt , I'm fine!"..
Kwa wasio mfahamu ndo mnasema mfalme kwanza ana mahotel makubwa wakati wananchi wake wanakuafa njaa amejilimbikizia malikweli kabisa Mugabe ndiyo mfalme wa afrika aliyebakia baada ya kufa gaddafi wa libya
suala la kujilimbikizia mali kwa viongozi wa afrika mbona ndiyo kama mila na destuli ss tunaongelea ujasiri wake mbona ata bongo watu wanapiga hela tu mdau kama nssf,tra,tpa etcKwa wasio mfahamu ndo mnasema mfalme kwanza ana mahotel makubwa wakati wananchi wake wanakuafa njaa amejilimbikizia mali
suala la kujilimbikizia mali kwa viongozi wa afrika mbona ndiyo kama mila na destuli ss tunaongelea ujasiri wake mbona ata bongo watu wanapiga hela tu mdau kama nssf,tra,tpa etc
Kiongozi asie na mikakati kiuchumi hana sifa ya umahiri.Kiongozi mwenye chuki busara zipo mbali naye.Hapana kiongozi Mugabe ndiyo Mwanasiasa mahiri aliyebaki katika bara la afrika wengine wazugaji tu hakuna jipya
evidence........Nchi Masikini kuliko zote duniani" Zimbabwee
source mkuukiongozi umemaliza kila kitu aise alafu tunasema zimbabwe wana maisha magumu wakati tuko sawa tena inawezekana akawa ametuzidi maana GDP yetu ktk bara zima la afrika ni ya chini kuliko inchi yeyote ata zile zenye vifa mf congo,sudan wametuzidi