maisha magumu mbona ata hapa bongo yapo ndugu hiv zile meli 60 kama zingelipa kodi zahanati ngapi zingejengwa,madawati magapi yangenunuliwa,dawa za wagonjwa kiasi gani zinge nunuliwa kuboresha huduma ya afya
sasa kuna tofauti gani hapo na zimbambwe kiongozi ebu nisaidie aise SSRA wanalipa kodi 600bill kwa mwaka ukizidisha mara mbili unapata pesa tulizonyimwa kutoka MCC
Hawa wote ndio wateule wa mkweree; wao kauli mbiu yao ilikuwa " PONDA MALI KUFA KWAJA" baada ya boss wao kugundulika alikuwa na maradhi ya tezi dume!!