Mugabe noma sana aise

Mugabe noma sana aise

maisha magumu mbona ata hapa bongo yapo ndugu hiv zile meli 60 kama zingelipa kodi zahanati ngapi zingejengwa,madawati magapi yangenunuliwa,dawa za wagonjwa kiasi gani zinge nunuliwa kuboresha huduma ya afya
sasa kuna tofauti gani hapo na zimbambwe kiongozi ebu nisaidie aise SSRA wanalipa kodi 600bill kwa mwaka ukizidisha mara mbili unapata pesa tulizonyimwa kutoka MCC

Hawa wote ndio wateule wa mkweree; wao kauli mbiu yao ilikuwa " PONDA MALI KUFA KWAJA" baada ya boss wao kugundulika alikuwa na maradhi ya tezi dume!!
 
President Robert Mugabe funn..

A speech by Zimbabwean President Robert Mugabe:
"Racism will never end as long as white cars are still using black tyres. Racism will never end if people still use black to symbolise bad luck and white for peace. Racism will never end if people still wear white clothes to weddings and black clothes to funerals.

Racism will never end as long as those who don't pay their bills are blacklisted not whitelisted. Even when playing snooker. You haven't won until you've sunk the black ball, and the white ball must remain on the table.

But I don't care, as long as I'm still using white toilet paper to wipe my black butt , I'm fine!"..
@_@
 
Ngoja niangalie list ya Panama papers kama hayumo lakini mengine ni ya kumtungia tu ameifikisha nchi kubaya sana
 
White toilet paper can rape your *ss unknowingly
Hawa wote ndio wateule wa mkweree; wao kauli mbiu yao ilikuwa " PONDA MALI KUFA KWAJA" baada ya boss wao kugundulika alikuwa na maradhi ya tezi dume!!
kiongozi umemaliza kila kitu aise alafu tunasema zimbabwe wana maisha magumu wakati tuko sawa tena inawezekana akawa ametuzidi maana GDP yetu ktk bara zima la afrika ni ya chini kuliko inchi yeyote ata zile zenye vifa mf congo,sudan wametuzidi
 
Hahaaaaaa!
Waanze mchakato wa kutengeneza a BLACK TOILET PAPER.
Hapo hawakuona mbele, nafikiri hata kwenye codes upande wa computer, zeros (0000) inawakilisha BLACK. Ila kama wao wanatufuta uchafu, haina mbaya!
 
President Robert Mugabe funn..

A speech by Zimbabwean President Robert Mugabe:
"Racism will never end as long as white cars are still using black tyres. Racism will never end if people still use black to symbolise bad luck and white for peace. Racism will never end if people still wear white clothes to weddings and black clothes to funerals.

Racism will never end as long as those who don't pay their bills are blacklisted not whitelisted. Even when playing snooker. You haven't won until you've sunk the black ball, and the white ball must remain on the table.

But I don't care, as long as I'm still using white toilet paper to wipe my black butt , I'm fine!"..
Huyu mzee anajielewaga sana
 
Kwa wasio mfahamu ndo mnasema mfalme kwanza ana mahotel makubwa wakati wananchi wake wanakuafa njaa amejilimbikizia mali
suala la kujilimbikizia mali kwa viongozi wa afrika mbona ndiyo kama mila na destuli ss tunaongelea ujasiri wake mbona ata bongo watu wanapiga hela tu mdau kama nssf,tra,tpa etc
 
suala la kujilimbikizia mali kwa viongozi wa afrika mbona ndiyo kama mila na destuli ss tunaongelea ujasiri wake mbona ata bongo watu wanapiga hela tu mdau kama nssf,tra,tpa etc

Ujasiri wake aumsandii chochote wakati raia wanateseka nafikiri mwezi wapili nchi yake ilikubwa na njaa akaomba msaada kwa watu weupe uo niuendawazimu labda gadaffi ndo naweza kuelewa lkn mugabe amekua mbabe wa mdomo wakati wananchi wako wanakufa njaa
 
Hapana kiongozi Mugabe ndiyo Mwanasiasa mahiri aliyebaki katika bara la afrika wengine wazugaji tu hakuna jipya
Kiongozi asie na mikakati kiuchumi hana sifa ya umahiri.Kiongozi mwenye chuki busara zipo mbali naye.
 
kiongozi umemaliza kila kitu aise alafu tunasema zimbabwe wana maisha magumu wakati tuko sawa tena inawezekana akawa ametuzidi maana GDP yetu ktk bara zima la afrika ni ya chini kuliko inchi yeyote ata zile zenye vifa mf congo,sudan wametuzidi
source mkuu
 
viongozi wa afrika akili zao znafanana................
wote
sijajua jpm tumpe muda tutamjua2
 
Back
Top Bottom