Mugalu, Kagere na Thadeo Lwanga hawajam-impress kocha Zoran

Una uhakika gani hao unao wataja wata click? vp wakifika wakawa flop
 
Kuna wakati viongozi wa simba nao wanajichanganya. Tatizo la wachezaji wa Safu ya ushambuliaji lilionekana hata kwa mtu asiyejua mpira...
Chiko hakusajiliwa na Yanga alikuja kwa mkopo kwa makubaliano ya kusajiliwa tumia akili japo najua huna
 
Tatizo lilikopo simba ni mgogoro wa viongozi, unatafuna ndani kwa ndani. Yaan sijui hata nn kifanyike. Khaaaah.
Elezeni Ukweli ziliko B20 vinginevyo....laana ya kumnyang'anya Timu mzee kilomoni...

Kufoji hati miliki za Jengo kwa kushirikiana na Makonda kumpa muhindi ili anunue Timu kwa B20 za Mchongo hakutawaacha salama..

Mwenyekti wa Simba yupo yupo hata hajui Timu inasajili vipi na inaendeshwaje....

Kuwafanya Simba mambumbumbu ni laana...

Na bado...
 
Elezeni Ukweli ziliko B20 vinginevyo....laana ya kumnyang'anya Timu mzee kilomoni...

Kufoji hati miliki za Jengo kwa kushirikiana na Makonda kumpa muhindi ili anunue Timu kwa B20 za Mchongo hakutawaacha salama..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo mnachopendaa kusikia utopolooo, khaaaaah.
 
Mambo ya wenzetu usiyalete huku usajiri wa Europe upo wazi sana sisi huku ni siri sasa hivi una taarifa za De Jong kuondoka niambie huku kwetu hizo mambo zipo?
Nani alikuambia usajiri wao huwa uko wazi? Au kisa huwa zinavuja ndio maana unasema hivyo. Taarifa za De jong zimevuja na ndio maana ninazo, hata huku pia taarifa huvuja. Kwani nani kawa signed na Simba na watu walikuwa hawajui kabla?
 
[emoji23][emoji23]
Ila umenena vyema, but Ni Bora kocha akasuggest mwenyewe, ili akizingua asiwe na la kusingizia
 
Tatizo la hizi timu kubwa za Tanzania ni kwamba, usajili hua ni dili kubwa sana kwa viongozi wa hivyo vilabu ndio maana wanalazimisha wenyewe ndio wahusike kwenye zoezi zima.
 
Hao walikuwa wanatafutiwa mlango wa kutokea na lazima wangetoka kwa namna yoyote, kama timu imeshasajili vyuma vipya hivyo vya zamani ilikuwa lazima viondoke.
 
Muda wa kufanya hayo yote upo wapi kumbuka sasa hivi zimebaki week tatu ligi ianze
Unakumbuka guadiaola anakuja city, taarifa alizipata wakati huo Manuel peregrine alikuwa mzigoni city, jamaa akanza kusuggest wachizaje ambao angalau angependa wawemo kwa kuanzia!

Jamaa aliwahi kumpigia simu Gabriel Jesus kuwa ana malengo nae na kwamba akija city atakuwa bora zaidi, Sterling timu ya taifa alikuwa anabezwa Sana jamaa akamchek akamtia moyo mpaka dogo kaondoka city bado Yuko [emoji91]

Kumbuka gundogan wakat anakuja city, alikuwa na majerehi yaliyomweka mda mrefu pending lakin jamaa alilazimisha aje hivyo hivyo!

Tanzania tunahitaji kubadilika
 
Tatizo la hizi timu kubwa za Tanzania ni kwamba, usajili hua ni dili kubwa sana kwa viongozi wa hivyo vilabu ndio maana wanalazimisha wenyewe ndio wahusike kwenye zoezi zima.
Hapa pana shida kubwa Sana, siku wakibadilika, timu zetu zitakuwa zamoto Sana!

Binafsi napenda Tanzania ikawa na timu champions league ambazo Ni tishio!!

Hawa mazembe waliwezaje? Au hao hao widad Casablanca wanawezaje?
 

Mkuu Kanoute alikuwa na shida ya passport
 
Propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…