Mugalu ni bora kuliko Mayele 50!

Mugalu ni bora kuliko Mayele 50!

Tipstipstor

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2021
Posts
1,528
Reaction score
3,352
Alhan wa sahlan

Ukicheki tathmini ya Mshambuliaji machachari Christiano Mugalu aka (the animal) toka ajiunge na Magwiji wa soka nchini Tanzania, yes naizungumzia Simba de sportive club ukipenda waite wekundu wa msimbazi zinaonesha kuwa ndie mshambuliaji bora zaidi kutoka nchini DRC kuwahi kusukuma kabumbu katika ardhi ya Tanzania.

Umahiri wa Mugalu unatokana na uwezo wake mkubwa wa kuumiliki mpira, mikimbio yake akiwa na mpira au akiwa hana mpira na pia jinsi anavyoweza kuifungua defence ya timu pinzani na kucreate half chances kwa attavking midfielders kuweza kuscore na mwisho wa yote ni goal poacher ukipenda muite clinical finisher.

Dakika anazocheza Mugalu uwanjani ukilinganisha na wastani wa mabao ya kufunga ni wazi kuwa amemuacha sana mbali overated striker Fiston Mayele . Mugalu ni aina ya mchezaji ambaye haitaji dakika nyingi uwanjani kuweza kukuonesha maajabu yake.

Mwisho kabisa napenda kusema kuwa hizo dola 350000/= (milioni 800) ambazo tunaenda kuzipokea kutoka CAF mara baada ya kutinga hatua ya robo fainali tutaichangia klabu ya Young African ili iweze kuboresha uwanja wake wa Kaunda pale Jangwani.

Asanteni!
 
We jamaa naona bangi uliyovuta ilikuwa aijachambuliwa, ebu nipe hizo takwimu zinazokufanya umlinganishe mayele na upuuzi kama uyo mugalu unaemsifia kwa kupiga bomu mochwali jana, mpira ni takwimu nakusubilia unijibu
 
Huo upuuzi wako sijui manywele anamaajabu yapi kwa mfano.Huyo manywele anatamani sana angekuja simba sio uko kwa wafugaji ...msisahau pia leo kuita press
 
FB_IMG_16477632245377459.jpg
 
We jamaa naona bangi uliyovuta ilikuwa aijachambuliwa, ebu nipe hizo takwimu zinazokufanya umlinganishe mayele na upuuzi kama uyo mugalu unaemsifia kwa kupiga bomu mochwali jana, mpira ni takwimu nakusubilia unijibu
2 times TPL champion
2times Quater finalist CAFCL.
1Time quater finalist CAFCC
2times AzamFA cup champion
1mapinduzi cup champion

Hiyo ya magoli nakuachia homework !!

Upo ng'ombe wa mayele?

Umejisahaulisha kuwa the animal aliikojolea timu yenu ya kina mayele pale kinshasa?

Ntajie mchezaji gani wa kikongo aliyewahi kupata mafanikio haya ndani ya ardhi ya Tanzania ukimuacha Cristiano Mugalu
 
2 times TPL champion
2times Quater finalist CAFCL.
1Time quater finalist CAFCCL
2times AzamFA cup champion
1mapinduzi cup champion

Hiyo ya magoli nakuachia homework !!

Upo ng'ombe wa mayele?

Umejisahaulisha kuwa the animal aliikojolea timu yenu ya kina mayele pale kinshasa?

Ntajie mchezaji gani wa kikongo aliyewahi kupata mafanikio haya ndani ya ardhi ya Tanzania ukimuacha Cristiano Mugalu
Striker bongo ni mayele tu hao wengine ni mungu saidia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom