Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Alhan wa sahlan
Ukicheki tathmini ya Mshambuliaji machachari Christiano Mugalu aka (the animal) toka ajiunge na Magwiji wa soka nchini Tanzania, yes naizungumzia Simba de sportive club ukipenda waite wekundu wa msimbazi zinaonesha kuwa ndie mshambuliaji bora zaidi kutoka nchini DRC kuwahi kusukuma kabumbu katika ardhi ya Tanzania.
Umahiri wa Mugalu unatokana na uwezo wake mkubwa wa kuumiliki mpira, mikimbio yake akiwa na mpira au akiwa hana mpira na pia jinsi anavyoweza kuifungua defence ya timu pinzani na kucreate half chances kwa attavking midfielders kuweza kuscore na mwisho wa yote ni goal poacher ukipenda muite clinical finisher.
Dakika anazocheza Mugalu uwanjani ukilinganisha na wastani wa mabao ya kufunga ni wazi kuwa amemuacha sana mbali overated striker Fiston Mayele . Mugalu ni aina ya mchezaji ambaye haitaji dakika nyingi uwanjani kuweza kukuonesha maajabu yake.
Mwisho kabisa napenda kusema kuwa hizo dola 350000/= (milioni 800) ambazo tunaenda kuzipokea kutoka CAF mara baada ya kutinga hatua ya robo fainali tutaichangia klabu ya Young African ili iweze kuboresha uwanja wake wa Kaunda pale Jangwani.
Asanteni!