Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
cha ajabu hadi leo wanambebaTafadhalini sana tuondoleeni huyu mcheza striker mkabaji na mcheza off side kila wakati kwenye club yetu kwani kazi ya kufunga magoli iliisha mshinda siku nyingi. Kiwango hana na hastahili kuchezea timu kama Simba.
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app