Muguel Gamond hana mbinu za kuivusha Yanga

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Nimeangalia mechi zote mbili ile ya Algeria na hii hapa ya kwa mkapa dhid ya Al alhly nachelea kusema pale hamna kocha wa mbinu

Mbinu pekee aliyonayo n kupress kwa kas basi na Wala hamuheshimu mpinzani wake hata kidogo

Katika mpira lazma kocha uweze kubadirika Kutoka na mpinzani wako anavyocheza lakn huyu Hana muda huo yeye n kasi kasi kasi basii ndyo anachojua

Mechi ya Algeria timu ingeweza hata kupata sare lakn hakumheshimu mpinzani wake hata kidogo

KOCHA NABI aliweza kucheza kwa mbinu japo zpo mech alizopoteza lakn alionesha mbinu za kimchezo

Kibabage hawez kumzid FARID MUSA Hana control mguuni Wala kumwaga maji sijui nn kimemkuta Farid Musa
 
Kwakweli hata mimi huyu Kibabage huwa simuelewi kabisa. Mzize naye kama anaanza kuridhika na alipo. Sion extra efforts.
 
Na iwe hivyo..... Kikosi kinahitaji maboresho kidogo tu....Timu isikamatike Ligi yetu na kumsumbua Afrika.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Sio rahisi kama tunavyodhania, Yanga bado sana kwenye mashindano ya Club Bingwa.

Wacheazji wetu ni machachari! but bado tuna nafasi ya kupenya kama kocha atabadilika na kuwa na heshima kwa wapinzani
 
Sio rahisi kama tunavyodhania, Yanga bado sana kwenye mashindano ya Club Bingwa.

Wacheazji wetu ni machachari! but bado tuna nafasi ya kupenya kama kocha atabadilika na kuwa na heshima kwa wapinzani
Huo ndio ukwel kocha anahtaji kubadirika kimbinu
 

Sijui lini mtakaa na kocha, siku zote wachezaji hawana shida ila kwa makocha tu! Basi mletewe Guardiola au Scaloni! Timu kubwa kama al ahly kweli utalalamika!! Hata hapo mmejitahidi sana hako ka goli, je! Msingesawazisha ungekuja na malalamiko gani!

Gamondi aheshimiwe, ni kocha mzuri sana, kama vipi wasajili mastriker ili timu ibalance
 
Kibabage alifanya vizuri Jana , waarabu warefu na wazuri wa vichwa mipira ya kumwaga maji haifai .
Farid musa alikuwa majeruhi sawa ana footwork nzuri lakini farid musa Hana kasi Kama ya kibabage na kibabage ana footwork nzuri .
Gamondi apewe wachezaji wenye quality atakupa matokeo , Kama yanga Kiungo na mbele Ingekuwa na wachezaji wote quality ya Pacome na nzengeli Hata kombe la caf cl Ingechukua amini usi amini .
 
Upo sahihi tu hapo kwa kibabage, huyo kibabage hata sijui nn alichonacho mpk akasajiliwa. Kwanza mfupi sana alafu dogo hana hata nguvu wala kasi na hata krosi hapigi.

Bora hata kibwana ana mapungufu kwenye kross ila ni mzuri kukaba, huyu kibabage hamna kitu. Huu usajili niliupinga
 
Mzize alichoka mapema tuu. Nilikuwa simkubali lomalisa kwa sababu ya back pass ila lomalisa nisamee bure laiti asingeumia tulikuwa tunakimbiza sana tyu. Yanga ilicheza bonge yanga ya game. Nadhani makolo wamepata taarifa huko walipo.
Jana majukumu aliyopewa ni kusogea juu tukiwa na mpira kwasabab nyuma kulika na mabeki 3. Huwa anapga back pass kwababu anakuwa yupo huko huko nyuma
 
Mzize alichoka mapema tuu. Nilikuwa simkubali lomalisa kwa sababu ya back pass ila lomalisa nisamee bure laiti asingeumia tulikuwa tunakimbiza sana tyu. Yanga ilicheza bonge yanga ya game. Nadhani makolo wamepata taarifa huko walipo.
Wewe umeongea.

Huyu jamaa hata alicho kiandika hakijui watu kama hawa wamejaa kwenye club kazi yao kupanikisha watu kwenye club.

Muda n mwalimu mzuri mkuu
Nyie ndio wale mashabiki mkifungwa mnakimbilia kamera kocha hamumtaki,ukiambiwa kocha ana mapungufu gani kimya.

Nyie ndio wale waandishi wa habari waliochanwa na Nabi baada ya kumfunga TP Mazembe,kuna mashabiki mpaka wachambuzi wakasema Nabi hawezi fanya vizuri kimataifa.

Haya kocha wenu Benchka huyo hapo kama viongozi wakiwa na akili kama zako,yule kocha hata valentine day hafiki.

Kocha ndio kwanza ana miezi miwili, kaikuta club,kutengeneza club kutoka na falsafa yake na resources zilizokiwepo mpaka sasa,ukitizama kafanikiwa.Kuna sehemu chache tu kama club wakimsupport kupata wachezaji wawili tu (Winga,Striker na namba sita).Unaona kabisa Yanga watakuwa wakali.
 
Siyo kweli hao waliocheza nao siyo timu ndgo yanga Haina namba 9 mwenye weledi wa kutosha mzize na msonda Bado sana
 

Kocha unamlaumu vipi? Unazungumzia kimbinu ulitaka kucheza kwa kupaki bus? Je kupaki bus na ku possess ni ipi njia sahihi ya kujilinda?

Mechi dhidi ya kule Algeria kwa kiasi fulani yamechangiwa na kipa kutokuwa na uwezo binafsi. Angalia namna Diarra anavyowafokea mabeki, angalia anavyotumia akili kuokoa kwa miguu na mikono. Ni kipa anayefungwa ila anafanya sana jitihada binafsi. Kule Algeria mabeki walikosa wakuwakumbusha wajibu wao.

Timu ukiachana na ile first eleven, hivi wachezaji gani wanaweza kuingia sub kule mbele na wakaubadilisha mchezo dhidi ya Al Ahly iliyojaa quality? Skudu? Musonda? Konkon? Sureboy?
Timu haina striker wa maana
Pacome, Yao, Max na Aziz Ki ndio wachezaji wenye quality, je kocha anao mbadala wa hao watu endapo atataka kubadilisha mchezo?

Binafsi sina lawama na aina ya mpira wa kocha, ukweli ni kwamba timu bado ina maeneo ambayo hayako sawa.
 
Umewahi kufundisha timu gani hapo kijijini kwenu Sisimbi?
 
Mzize alichoka mapema tuu. Nilikuwa simkubali lomalisa kwa sababu ya back pass ila lomalisa nisamee bure laiti asingeumia tulikuwa tunakimbiza sana tyu. Yanga ilicheza bonge yanga ya game. Nadhani makolo wamepata taarifa huko walipo.
Kwa Mechi ya Jana basi binadamu tumeumbwa kulaumu Acha waliojaliwa lawama walaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…