Muhambwe yapaza sauti kumshukuru Rais Samia kwa kufikisha mapema mbolea ya kupandia, wiki ijayo kushuka nyingine

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kuelezea Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimboni pamoja na kusikiliza na kutatua kero za Wananchi ambapo Jana alikuwa na Mkutano wa hadhara Kata ya Kibondo.

Akiwa Kata ya Kibondo Wananchi wameishukuru sana Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mbolea ya ruzuku ya kupandia ikifika kwa wakati mazao yametoka vizuri.

Hata hivyo, mbolea ya kukuzia imechelewa kufika katika Jimbo la Muhambwe na Mhe. Mbunge Dkt. Samizi aliwasiliana kwa simu na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe na kuahidi kuwa atahakikisha mbolea ya kukuzia inafika Muhambwe ifikapo alhamisi wiki hii.

Serikali ya Rais Samia imeendelea kufanya makubwa kwenye kilimo ikiwemo kuongeza Bajeti ya Kilimo kutoka Bilioni 294 hadi 954 na Ruzuku ya Mbolea kufikia Bilioni 150.

#KaziInaendeleaMuhambwe
 
Attachments

  • IMG-20221219-WA0002.jpg
    IMG-20221219-WA0002.jpg
    93.3 KB · Views: 5
  • IMG-20221219-WA0003.jpg
    IMG-20221219-WA0003.jpg
    116.1 KB · Views: 6
  • IMG-20221219-WA0004.jpg
    IMG-20221219-WA0004.jpg
    54.4 KB · Views: 5
  • IMG-20221219-WA0005.jpg
    IMG-20221219-WA0005.jpg
    122.4 KB · Views: 4
Kupata vibwagizo kama hivi, andika neno BAHASHA tuma kwenda namba 175002.
 
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kuelezea Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimboni pamoja na kusikiliza na kutatua kero za Wananchi ambapo Jana alikuwa na Mkutano wa hadhara Kata ya Kibondo.

Akiwa Kata ya Kibondo Wananchi wameishukuru sana Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mbolea ya ruzuku ya kupandia ikifika kwa wakati mazao yametoka vizuri.

Hata hivyo, mbolea ya kukuzia imechelewa kufika katika Jimbo la Muhambwe na Mhe. Mbunge Dkt. Samizi aliwasiliana kwa simu na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe na kuahidi kuwa atahakikisha mbolea ya kukuzia inafika Muhambwe ifikapo alhamisi wiki hii.

Serikali ya Rais Samia imeendelea kufanya makubwa kwenye kilimo ikiwemo kuongeza Bajeti ya Kilimo kutoka Bilioni 294 hadi 954 na Ruzuku ya Mbolea kufikia Bilioni 150.

#KaziInaendeleaMuhambwe
wilaya ya ludewa mbolea inaenda kwa kusuasua sana wakulipa hawapati mahitaji kwa wakati,mbolea inapelekwa kwenye fuso siku moja imeisha.
 
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kuelezea Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimboni pamoja na kusikiliza na kutatua kero za Wananchi ambapo Jana alikuwa na Mkutano wa hadhara Kata ya Kibondo.

Akiwa Kata ya Kibondo Wananchi wameishukuru sana Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mbolea ya ruzuku ya kupandia ikifika kwa wakati mazao yametoka vizuri.

Hata hivyo, mbolea ya kukuzia imechelewa kufika katika Jimbo la Muhambwe na Mhe. Mbunge Dkt. Samizi aliwasiliana kwa simu na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe na kuahidi kuwa atahakikisha mbolea ya kukuzia inafika Muhambwe ifikapo alhamisi wiki hii.

Serikali ya Rais Samia imeendelea kufanya makubwa kwenye kilimo ikiwemo kuongeza Bajeti ya Kilimo kutoka Bilioni 294 hadi 954 na Ruzuku ya Mbolea kufikia Bilioni 150.

#KaziInaendeleaMuhambwe
Serikali ya Rais Samia Suluhu imeipa kipaumbele sekta ya kilimo kwasababu asilimia kubwa ya watanzania wamejiajiri katika kilimo
 
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kuelezea Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimboni pamoja na kusikiliza na kutatua kero za Wananchi ambapo Jana alikuwa na Mkutano wa hadhara Kata ya Kibondo.

Akiwa Kata ya Kibondo Wananchi wameishukuru sana Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mbolea ya ruzuku ya kupandia ikifika kwa wakati mazao yametoka vizuri.

Hata hivyo, mbolea ya kukuzia imechelewa kufika katika Jimbo la Muhambwe na Mhe. Mbunge Dkt. Samizi aliwasiliana kwa simu na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe na kuahidi kuwa atahakikisha mbolea ya kukuzia inafika Muhambwe ifikapo alhamisi wiki hii.

Serikali ya Rais Samia imeendelea kufanya makubwa kwenye kilimo ikiwemo kuongeza Bajeti ya Kilimo kutoka Bilioni 294 hadi 954 na Ruzuku ya Mbolea kufikia Bilioni 150.

#KaziInaendeleaMuhambwe
Safi [emoji1666]
 
Back
Top Bottom