Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kuna mambo yanachekesha, waja sijui huwa mnawaza nini
😂😂😂😂😂
AKANIPIGA KWA NGUVU SANA KWENYE KIFUA CHANGU, na nilipatwa na maumivu makali sana. HALAFU AKASEMA, unafikiri Allah na Nabii wake wamekuonea?
😂😂😂😂Walikuwa wanamuudhi mtume hawa watu
Aliwachapa nao sana mademu na kujilimbikizia mali.... Na inasemekana alikufa kwa ugonjwa wa zinaa
Astagafurillah.
Pia sijaona Hata sehem moja kwa Quran akiombea wagonjwa na wenye shida...
Au hata muujiza mmoja wa Mtume.
kwenye Uislamu mwanamke kutandikwa NI lazima kama akusikilizi..MUHAMMAD ALIKUWA ANAWAPIGA WAKE ZAKE - AISHA NA HAFSA
Muhammad alikuwa na tabia ya kuwapiga wake zake, hususan Aisha na Hafsa.
Sahih Muslim #2127
Ilipokuwa zamu yangu kwa Nabii wa Allah kuwa nami usiku, aliingia na kugeuka, akavua joho lake na viatu vyake, na kuviweka karibu na miguu yake, na akajilaza kwenye kitanda mpaka alipo fikiria kuwa na mimi nimelala.
Basi akachukua joho lake taratiibu na kuvaa viatu vyake, na akafungua mlango na kutoka nje na kuufunga taratibu. Aisha akasema, na mimi nikajifunika kichwa changu, na kuvaa hijabu yangu na kujifunga nguo kiunoni mwangu, na baadae nikatoka nje na kumfuta Nabii wa Allah mpaka alipo fika Baqi.
Alisimama pale kwa muda mrefu. Na baadae akanyanyua mikono yake mara tatu, na baadae kurudi, na mimi vile vile nikarudi nyumbani. Alikuwa anatembea kwa haraka haraka, na mimi vile vile nilitembea kwa haraka haraka. Alikimbia, na mimi nikakimbia vile vile. Akaja nyumbani na mimi vile vile nilikwenda nyumbani, ingawa mimi nilkwenda kwa haraka kabla yake. Nilipo ingia tu na kujilaza kitandani, na Nabii wa Allah akaingia nyumbani, akasema: Hii ni nini, O' Aisha, mbona unahema sana? Nikamwambia, hakuna kitu. Akasema, Niambie au una mambo ya siri hautaki kuniambia.
Nikamwambia, Nabii wa Allah, baba na mama yangu wawe fidia kwako, halafu nikamwambia kila kitu bila kumficha kitu. Muhammad akasema, kumbe nilicho kuwa nakiona kwenye giza mbele yangu ilikuwa ni wewe? Nikamjibu, NDIO. Basi Nabii wa Allah,
AKANIPIGA KWA NGUVU SANA KWENYE KIFUA CHANGU, na nilipatwa na maumivu makali sana. HALAFU AKASEMA, unafikiri Allah na Nabii wake wamekuonea?
Bukhari volume 8, #828
Amesema Aisha: Abu Bakr alikuja kwangu na akanipiga ngumi kwa nguvu sana na kusema, umewaweka watu kizuizini kwasababu ya mkufu wako. Lakini nilikuwa nimekaa kimya kama vile nimekufa, .......
Jamani, eti huyu ndie Nabii wa Allah. Hana jema zaidi ya kupiga wake zake, kisa, mke mtu kamfuata Baqi. Je, kama Muhmmad alicho kuwa anafanya ni jambo jema, kwanini aliondoka nyumbani kwake kimya kimya?
Kama kweli Muhammad hakwenda kufanya NDUMBA, kwanini alichukia pale alipo ambiwa kuwa Aisha na yeye alikuwa Baqi?
Hivi, kwanini MUHAMMAD ALIKUWA ANAPIGA WAKE ZAKE?
hili swala la kuombea miujiza unaweza kulionyesha kwenye Mitume wengine kabla ya yesu kama audacity ya mitume ni kufanya miujiza??Astagafurillah.
Pia sijaona Hata sehem moja kwa Quran akiombea wagonjwa na wenye shida...
Au hata muujiza mmoja wa Mtume.
kwenye Uislamu mwanamke kutandikwa NI lazima kama akusikilizi..
nenda kasome hata Qurani acha hiyo Hadithi ambazo anaweza kuja mtu akakanusha kwa kusema sio sahhi au lah..
View attachment 3571339
hapo kwenye 34 Utaona Mungu anaamrisha wapigwe
ni mwendo wa kichapo tuKabisa. Nimeona allah akimwambia muhamad awatwange tu hao mbwa.maana hawajielewi.
Kabisa ...ni mwendo wa kichapo tu
kobaz wa namtumbo watakuja kukupinga kuhusu mkombozi wao mudyMUHAMMAD ALIKUWA ANAWAPIGA WAKE ZAKE - AISHA NA HAFSA
Muhammad alikuwa na tabia ya kuwapiga wake zake, hususan Aisha na Hafsa.
Sahih Muslim #2127
Ilipokuwa zamu yangu kwa Nabii wa Allah kuwa nami usiku, aliingia na kugeuka, akavua joho lake na viatu vyake, na kuviweka karibu na miguu yake, na akajilaza kwenye kitanda mpaka alipo fikiria kuwa na mimi nimelala.
Basi akachukua joho lake taratiibu na kuvaa viatu vyake, na akafungua mlango na kutoka nje na kuufunga taratibu. Aisha akasema, na mimi nikajifunika kichwa changu, na kuvaa hijabu yangu na kujifunga nguo kiunoni mwangu, na baadae nikatoka nje na kumfuta Nabii wa Allah mpaka alipo fika Baqi.
Alisimama pale kwa muda mrefu. Na baadae akanyanyua mikono yake mara tatu, na baadae kurudi, na mimi vile vile nikarudi nyumbani. Alikuwa anatembea kwa haraka haraka, na mimi vile vile nilitembea kwa haraka haraka. Alikimbia, na mimi nikakimbia vile vile. Akaja nyumbani na mimi vile vile nilikwenda nyumbani, ingawa mimi nilkwenda kwa haraka kabla yake. Nilipo ingia tu na kujilaza kitandani, na Nabii wa Allah akaingia nyumbani, akasema: Hii ni nini, O' Aisha, mbona unahema sana? Nikamwambia, hakuna kitu. Akasema, Niambie au una mambo ya siri hautaki kuniambia.
Nikamwambia, Nabii wa Allah, baba na mama yangu wawe fidia kwako, halafu nikamwambia kila kitu bila kumficha kitu. Muhammad akasema, kumbe nilicho kuwa nakiona kwenye giza mbele yangu ilikuwa ni wewe? Nikamjibu, NDIO. Basi Nabii wa Allah,
AKANIPIGA KWA NGUVU SANA KWENYE KIFUA CHANGU, na nilipatwa na maumivu makali sana. HALAFU AKASEMA, unafikiri Allah na Nabii wake wamekuonea?
Bukhari volume 8, #828
Amesema Aisha: Abu Bakr alikuja kwangu na akanipiga ngumi kwa nguvu sana na kusema, umewaweka watu kizuizini kwasababu ya mkufu wako. Lakini nilikuwa nimekaa kimya kama vile nimekufa, .......
Jamani, eti huyu ndie Nabii wa Allah. Hana jema zaidi ya kupiga wake zake, kisa, mke mtu kamfuata Baqi. Je, kama Muhmmad alicho kuwa anafanya ni jambo jema, kwanini aliondoka nyumbani kwake kimya kimya?
Kama kweli Muhammad hakwenda kufanya NDUMBA, kwanini alichukia pale alipo ambiwa kuwa Aisha na yeye alikuwa Baqi?
Hivi, kwanini MUHAMMAD ALIKUWA ANAPIGA WAKE ZAKE?
kobaz wa namtumbo watakuja kukupinga kuhusu mkombozi wao mudy
hili swala la kuombea miujiza unaweza kulionyesha kwenye Mitume wengine kabla ya yesu kama audacity ya mitume ni kufanya miujiza??
Mohamed alifanya miujiza mengi sema concepts ya islamu haikujikita kwenye miujiza ila nitakutajia michacheSijui umewaza nini.
Ila Kuna weng tu walifanya miujiza kwa uwezo wa Mungu.
Tuanzie ile miujiza ya Mussa kule Misri had bahar ya Shamu, kule Jangwani.
Turud kwa Eliya na Elisha.
Mifano ni mingi
Sasa tutajie wa Mtume ulioandikwa kwa Quran. Ambao amefanya kwa uwezo wa mnyezi Allah subiallah wataallah.