Muhammad aliwapa kichapo Hafsa na Aisha sababu walikuwa hawamsikilizi sometimes

Dini zote duniani ni kandamizi kwa Wanawake.

Hazionyeshi Mume akikosea afanyweje?
Hazionyeshi mtawala akikosea afanyweje?
Hazionyeshi Mzazi akikosea afanywaje?

Na hapo ndipo utagundua ni uzushi na uongo kwani waandishi wa hizo dini hupendelea tabaka la juu. Na kukandamiza waliochini.
 
Mohamed alifanya miujiza mengi sema concepts ya islamu haikujikita kwenye miujiza ila nitakutajia michache

  • Kupasuliwa kwa Mwezi kati kati
    • ukisoma Qurani 54:1 "Saa imekaribia, na mwezi umepasuka."
    • na imeelezewa kwenye (Hadithi - Sahih Bukhari) "Imepokelewa na Anas bin Malik kuwa watu wa Makka walimwomba Mtume awaonyeshe ishara (muujiza), naye akawaonyesha kupasuka kwa mwezi mpaka wakaona mlima Hira katikati ya vipande hivyo viwili."
  • Maji Kutiririka Vidoleni kwenye safari ya vita vya Hudaibiyya na akannywesha watu 1500
    • Ukisoma Hadithi Sahih Bukhari, namba 3572 Jabir bin Abdullah anasimulia: "Niliwaona watu wakiwa na kiu, Mtume akaweka mkono wake kwenye chombo (chenye maji kidogo), na maji yakaanza kububujika kati ya vidole vyake kama chemchemi. Tulikunywa na kutawadha sote (tukiwa watu 1,500)."
    • Ukisoma Sahih Bukhari na Muslim Katika kisa cha Abu Hurairah, anasimulia jinsi Mtume alivyobariki bakuli moja la maziwa na watu wote wa Ahlus-Sunnah waliokuwa masikini wa msikitini wakanywa na kushiba, kisha yeye (Abu Hurairah) akanywa, na bado maziwa yakabaki vilevile.
    • Pia ukisoma Jabir wakati wa Vita vya Khandaq (Handaki), ambapo mbuzi mmoja na pishi moja ya ngano ililisha jeshi la watu 1,000.
  • Kutibu Majeraha na vidonda vya Ali
    • ukisoma Hadithi Sahih Bukhari Siku ya Khaybar, Mtume alimwita Ali bin Abi Talib ambaye alikuwa na maumivu makali ya macho kiasi cha kutoweza kuona vizuri. Mtume aliweka mate yake machoni mwa Ali na kumuombea dua, Ali akapona papo hapo kana kwamba hakuwa na maumivu yoyote.
ziko hadithi nyingi sana na hata Qurani vinavyoonyesha Kuhusu miujiza and such and such..lakini kwanini waislamu hawavitumii au hawako proud navyo ishu inakuja Theological persepctives ya waislamu iko tofauti kabisa na theological perspectives ya kikristo vivo hivyo hata kwa wayahudi..

unahisi Kwanini nilikuuliza kuhusu Miujiza ya manabii wengine wa zamani kabla ya yesu kwa sababu kwa wayahdi hiyo miujiza ni nothing kuwa proud of mna wala hukuti wakifundishana jhiyo miujiza so its matter of theological perspectives
Sheikh
 
Najua hiyo ya Mwez. Ila haielezei kuwa ni tukio amefanya mtume.
Ndio maana wanahusisha na Hadithi.

Mimi nimehoji kwenye Quran.

Hizo zinatoka kwenye vitabu vya hadithi.
Kuna meng ya kwenye Hizo Hadithi tukisema hapa wenye Dini yao watazikataa.

Mfano ile ya mtume kupandwa usiku kucha.
 
Najua hiyo ya Mwez. Ila haielezei kuwa ni tukio amefanya mtume.
Ndio maana wanahusisha na Hadithi.

Pia Hizo zinatoka kwenye vitabu vya hadithi.
Kuna meng ya kwenye Hizo Hadithi tukisema hapa wenye Dini yao watazikataa.

Mfano ile ya mtume kupandwa usiku kucha.
Hadithi ina sayansi yake Mkuu inaitwa Mustalahul Hadith yaani sayansi ya uchambuzi wa hadithi,,na hadith zimegawanyika kwa madaraja ,kuna
  • Hadithi sahihi
  • Hadithi hassana,
  • Hadithi dhaifu
  • Hadith maudhuu
kwahiyo daraja la juu zaidi la hadithi ni sahihi na mwisho kabisa la hadithi ni Maudhuu ambazo mara nyingi ni za uongo...sasa hapa tusihie hapaa sitaki kukuingiza kwenye sayansi ya hadithi maana nitaenda deep sana...

sasa kwanini hadithi zingine zinakataliwa na zingine zinakubalika kuna miongozo ya uchambuzi wa hadithi kwanza kwenye sanadi yake (mapokezi ya hadithi) na pia matini yake (ujumbe wa hadithi)... Ngoja kidogo nikufundishe Sayansi ya hadithi kwa muhtasari tu.

mfano:- Mwaka 2190 kuna mtu akaeleza kuwa alisikia kutoka kwa baba yake ,ambaye baab yake alisikia kutoka kwa mjomba wake ambaye mjomba wake alisikia kutoka kwa Nyerere Kuwa Magufuli alikuwa rais Bora zaidi afrika...

hii hadithi hapo Juu inaweza kuwa sahihi? Hapana! kwanini matini yake (ujumbe wake) unaweza kuwa na ukweli lakini Sanadi yake sio ya kweli , kwanini Nyerere hakuwepo kipindi cha uongozi wa Magufuli kwahyo hawezi kuelezea kuhusu uongozi wa magufuli...

so hadithi hupimwa kwanza hata kama itakuwa taari kwenye vitabu itachunguzwa.. na endapo matini yake pia yanapingana na Qurani hata kama wapokezi ni wakweli na ni sahihi hadithi itakuwa ya uongo..
..

quran iko katika mfumo wa kimashairi kwahyo huwezi kupata Historia mule ndo maana mara nyingi historia inapatikana katika hadithi masimulizi za wale walikuwa na mtume wakielezea kipindi aya inashuka mtume aliwaelezea kwanini aya hiyo imeshuka na tukio lillilokuwepo...

Ndo maana Qurani imeasa zaidi kuhsu kushikiria maneno ya Mungu na atakayowaambia na kuyatenda mtume (hadithi)...

umenielewa au bado?
 
quran iko katika mfumo wa kimashairi kwahyo huwezi kupata Historia mule ndo maana mara nyingi historia inapatikana katika hadithi masimulizi za wale walikuwa na mtume wakielezea kipindi aya inashuka mtume aliwaelezea kwanini aya hiyo imeshuka na tukio lillilokuwepo...

Sawa bro.
Tunaamin hadith zote..

Miujiza ndio hiyo 3 au kuna mengine?.
Na kwenye hizo hadith zinasema Mtume alitolewa marinda.
Alipaka hinna.
Alipaka wanja.
Alivaa nguo za Aisha.
Alinyonya ulimi wa mtoto na kitovu cha mwanaume wengine.
 
MUHAMMAD ALIKUWA ANAWAPIGA WAKE ZAKE - AISHA NA HAFSA

Muhammad alikuwa na tabia ya kuwapiga wake zake, hususan Aisha na Hafsa.

Sahih Muslim #2127

Ilipokuwa zamu yangu kwa Nabii wa Allah kuwa nami usiku, aliingia na kugeuka, akavua joho lake na viatu vyake, na kuviweka karibu na miguu yake, na akajilaza kwenye kitanda mpaka alipo fikiria kuwa na mimi nimelala.

Basi akachukua joho lake taratiibu na kuvaa viatu vyake, na akafungua mlango na kutoka nje na kuufunga taratibu. Aisha akasema, na mimi nikajifunika kichwa changu, na kuvaa hijabu yangu na kujifunga nguo kiunoni mwangu, na baadae nikatoka nje na kumfuta Nabii wa Allah mpaka alipo fika Baqi.

Alisimama pale kwa muda mrefu. Na baadae akanyanyua mikono yake mara tatu, na baadae kurudi, na mimi vile vile nikarudi nyumbani. Alikuwa anatembea kwa haraka haraka, na mimi vile vile nilitembea kwa haraka haraka. Alikimbia, na mimi nikakimbia vile vile. Akaja nyumbani na mimi vile vile nilikwenda nyumbani, ingawa mimi nilkwenda kwa haraka kabla yake. Nilipo ingia tu na kujilaza kitandani, na Nabii wa Allah akaingia nyumbani, akasema: Hii ni nini, O' Aisha, mbona unahema sana? Nikamwambia, hakuna kitu. Akasema, Niambie au una mambo ya siri hautaki kuniambia.

Nikamwambia, Nabii wa Allah, baba na mama yangu wawe fidia kwako, halafu nikamwambia kila kitu bila kumficha kitu. Muhammad akasema, kumbe nilicho kuwa nakiona kwenye giza mbele yangu ilikuwa ni wewe? Nikamjibu, NDIO. Basi Nabii wa Allah,
AKANIPIGA KWA NGUVU SANA KWENYE KIFUA CHANGU, na nilipatwa na maumivu makali sana. HALAFU AKASEMA, unafikiri Allah na Nabii wake wamekuonea?

Bukhari volume 8, #828
Amesema Aisha: Abu Bakr alikuja kwangu na akanipiga ngumi kwa nguvu sana na kusema, umewaweka watu kizuizini kwasababu ya mkufu wako. Lakini nilikuwa nimekaa kimya kama vile nimekufa, .......

Jamani, eti huyu ndie Nabii wa Allah. Hana jema zaidi ya kupiga wake zake, kisa, mke mtu kamfuata Baqi. Je, kama Muhmmad alicho kuwa anafanya ni jambo jema, kwanini aliondoka nyumbani kwake kimya kimya?

Kama kweli Muhammad hakwenda kufanya NDUMBA, kwanini alichukia pale alipo ambiwa kuwa Aisha na yeye alikuwa Baqi?

Hivi, kwanini MUHAMMAD ALIKUWA ANAPIGA WAKE ZAKE?
Na ndie chanzo cha ugaidi
 
Mohamed alifanya miujiza mengi sema concepts ya islamu haikujikita kwenye miujiza ila nitakutajia michache

  • Kupasuliwa kwa Mwezi kati kati
    • ukisoma Qurani 54:1 "Saa imekaribia, na mwezi umepasuka."
    • na imeelezewa kwenye (Hadithi - Sahih Bukhari) "Imepokelewa na Anas bin Malik kuwa watu wa Makka walimwomba Mtume awaonyeshe ishara (muujiza), naye akawaonyesha kupasuka kwa mwezi mpaka wakaona mlima Hira katikati ya vipande hivyo viwili."
  • Maji Kutiririka Vidoleni kwenye safari ya vita vya Hudaibiyya na akannywesha watu 1500
    • Ukisoma Hadithi Sahih Bukhari, namba 3572 Jabir bin Abdullah anasimulia: "Niliwaona watu wakiwa na kiu, Mtume akaweka mkono wake kwenye chombo (chenye maji kidogo), na maji yakaanza kububujika kati ya vidole vyake kama chemchemi. Tulikunywa na kutawadha sote (tukiwa watu 1,500)."
    • Ukisoma Sahih Bukhari na Muslim Katika kisa cha Abu Hurairah, anasimulia jinsi Mtume alivyobariki bakuli moja la maziwa na watu wote wa Ahlus-Sunnah waliokuwa masikini wa msikitini wakanywa na kushiba, kisha yeye (Abu Hurairah) akanywa, na bado maziwa yakabaki vilevile.
    • Pia ukisoma Jabir wakati wa Vita vya Khandaq (Handaki), ambapo mbuzi mmoja na pishi moja ya ngano ililisha jeshi la watu 1,000.
  • Kutibu Majeraha na vidonda vya Ali
    • ukisoma Hadithi Sahih Bukhari Siku ya Khaybar, Mtume alimwita Ali bin Abi Talib ambaye alikuwa na maumivu makali ya macho kiasi cha kutoweza kuona vizuri. Mtume aliweka mate yake machoni mwa Ali na kumuombea dua, Ali akapona papo hapo kana kwamba hakuwa na maumivu yoyote.
ziko hadithi nyingi sana na hata Qurani vinavyoonyesha Kuhusu miujiza and such and such..lakini kwanini waislamu hawavitumii au hawako proud navyo ishu inakuja Theological persepctives ya waislamu iko tofauti kabisa na theological perspectives ya kikristo vivo hivyo hata kwa wayahudi..

unahisi Kwanini nilikuuliza kuhusu Miujiza ya manabii wengine wa zamani kabla ya yesu kwa sababu kwa wayahdi hiyo miujiza ni nothing kuwa proud of mna wala hukuti wakifundishana jhiyo miujiza so its matter of theological perspectives
Sema Dr kwenye hizi dini mnatuokota sana bas tu hatuna namna ishakua mfumo wa maisha. Huko msikitini kuna muujiza wa mwezi kupasuliwa kati kati huku kanisani kuna muujiza wa bahari kugawanyika watu wakapita.
 
kwenye Uislamu mwanamke kutandikwa NI lazima kama akusikilizi..
nenda kasome hata Qurani acha hiyo Hadithi ambazo anaweza kuja mtu akakanusha kwa kusema sio sahhi au lah.. ukisoma Quran 4:34 au anisai aya ya 34
View attachment 3571339

hapo kwenye 34 Utaona Mungu anaamrisha wapigwe
Wewe kilaza acha kupotosha na vi tafsiri vya kipumbavu

Men are the caretakers of women, as men have been provisioned by Allah over women and tasked with supporting them financially. And righteous women are devoutly obedient and, when alone, protective of what Allah has entrusted them with.1 And if you sense ill-conduct from your women, advise them ˹first˺, ˹if they persist,˺ do not share their beds, ˹but if they still persist,˺ then discipline them ˹gently˺.2 But if they change their ways, do not be unjust to them. Surely Allah is Most High, All-Great.
 
Sawa bro.
Tunaamin hadith zote..

Miujiza ndio hiyo 3 au kuna mengine?.
Na kwenye hizo hadith zinasema Mtume alitolewa marinda.
Alipaka hinna.
Alipaka wanja.
Alivaa nguo za Aisha.
Alinyonya ulimi wa mtoto na kitovu cha mwanaume wengine.
umesoma nilichoandika nimesema hadithi zimegawanyika kwenye daraja na hazikubaliki zote..

na kwa hivyo ulivyotaja vyote natamani kujifunza kila siku elimu mpya so lete hadithi hizo tuzione
 
Sema Dr kwenye hizi dini mnatuokota sana bas tu hatuna namna ishakua mfumo wa maisha. Huko msikitini kuna muujiza wa mwezi kupasuliwa kati kati huku kanisani kuna muujiza wa bahari kugawanyika watu wakapita.
Mimi kwenye dini niliachaga hzi mambo zamani sana siwezi kudanganywa vitu ambavyo hata akili yangu tu hainipi kuvikubali
 
Miaka hyo hakukuwa na magonjwa ya zinaa kwasababu wagonjwa yote duniani yametengenezwa na binadamu kupitia dini yenu hyo mnaiyoiita ya Israel wauwaji
Unafikiri ana hoja huyo yeye anatoa tu kashfa yoyote inayomjia kichwani anaweza hata kusema kuwa Mtume alikuwa anauza cocaine
 
Back
Top Bottom