Muhammad aliwapa kichapo Hafsa na Aisha sababu walikuwa hawamsikilizi sometimes

Dini zote duniani ni kandamizi kwa Wanawake.

Hazionyeshi Mume akikosea afanyweje?
Hazionyeshi mtawala akikosea afanyweje?
Hazionyeshi Mzazi akikosea afanywaje?

Na hapo ndipo utagundua ni uzushi na uongo kwani waandishi wa hizo dini hupendelea tabaka la juu. Na kukandamiza waliochini.
 
Sheikh
 

Najua hiyo ya Mwez. Ila haielezei kuwa ni tukio amefanya mtume.
Ndio maana wanahusisha na Hadithi.

Mimi nimehoji kwenye Quran.

Hizo zinatoka kwenye vitabu vya hadithi.
Kuna meng ya kwenye Hizo Hadithi tukisema hapa wenye Dini yao watazikataa.

Mfano ile ya mtume kupandwa usiku kucha.
 
Hadithi ina sayansi yake Mkuu inaitwa Mustalahul Hadith yaani sayansi ya uchambuzi wa hadithi,,na hadith zimegawanyika kwa madaraja ,kuna
  • Hadithi sahihi
  • Hadithi hassana,
  • Hadithi dhaifu
  • Hadith maudhuu
kwahiyo daraja la juu zaidi la hadithi ni sahihi na mwisho kabisa la hadithi ni Maudhuu ambazo mara nyingi ni za uongo...sasa hapa tusihie hapaa sitaki kukuingiza kwenye sayansi ya hadithi maana nitaenda deep sana...

sasa kwanini hadithi zingine zinakataliwa na zingine zinakubalika kuna miongozo ya uchambuzi wa hadithi kwanza kwenye sanadi yake (mapokezi ya hadithi) na pia matini yake (ujumbe wa hadithi)... Ngoja kidogo nikufundishe Sayansi ya hadithi kwa muhtasari tu.

mfano:- Mwaka 2190 kuna mtu akaeleza kuwa alisikia kutoka kwa baba yake ,ambaye baab yake alisikia kutoka kwa mjomba wake ambaye mjomba wake alisikia kutoka kwa Nyerere Kuwa Magufuli alikuwa rais Bora zaidi afrika...

hii hadithi hapo Juu inaweza kuwa sahihi? Hapana! kwanini matini yake (ujumbe wake) unaweza kuwa na ukweli lakini Sanadi yake sio ya kweli , kwanini Nyerere hakuwepo kipindi cha uongozi wa Magufuli kwahyo hawezi kuelezea kuhusu uongozi wa magufuli...

so hadithi hupimwa kwanza hata kama itakuwa taari kwenye vitabu itachunguzwa.. na endapo matini yake pia yanapingana na Qurani hata kama wapokezi ni wakweli na ni sahihi hadithi itakuwa ya uongo..
..

quran iko katika mfumo wa kimashairi kwahyo huwezi kupata Historia mule ndo maana mara nyingi historia inapatikana katika hadithi masimulizi za wale walikuwa na mtume wakielezea kipindi aya inashuka mtume aliwaelezea kwanini aya hiyo imeshuka na tukio lillilokuwepo...

Ndo maana Qurani imeasa zaidi kuhsu kushikiria maneno ya Mungu na atakayowaambia na kuyatenda mtume (hadithi)...

umenielewa au bado?
 

Sawa bro.
Tunaamin hadith zote..

Miujiza ndio hiyo 3 au kuna mengine?.
Na kwenye hizo hadith zinasema Mtume alitolewa marinda.
Alipaka hinna.
Alipaka wanja.
Alivaa nguo za Aisha.
Alinyonya ulimi wa mtoto na kitovu cha mwanaume wengine.
 
Na ndie chanzo cha ugaidi
 
Sema Dr kwenye hizi dini mnatuokota sana bas tu hatuna namna ishakua mfumo wa maisha. Huko msikitini kuna muujiza wa mwezi kupasuliwa kati kati huku kanisani kuna muujiza wa bahari kugawanyika watu wakapita.
 
Wewe kilaza acha kupotosha na vi tafsiri vya kipumbavu


Men are the caretakers of women, as men have been provisioned by Allah over women and tasked with supporting them financially. And righteous women are devoutly obedient and, when alone, protective of what Allah has entrusted them with.1 And if you sense ill-conduct from your women, advise them ˹first˺, ˹if they persist,˺ do not share their beds, ˹but if they still persist,˺ then discipline them ˹gently˺.2 But if they change their ways, do not be unjust to them. Surely Allah is Most High, All-Great.
 
Sawa bro.
Tunaamin hadith zote..

Miujiza ndio hiyo 3 au kuna mengine?.
Na kwenye hizo hadith zinasema Mtume alitolewa marinda.
Alipaka hinna.
Alipaka wanja.
Alivaa nguo za Aisha.
Alinyonya ulimi wa mtoto na kitovu cha mwanaume wengine.
umesoma nilichoandika nimesema hadithi zimegawanyika kwenye daraja na hazikubaliki zote..

na kwa hivyo ulivyotaja vyote natamani kujifunza kila siku elimu mpya so lete hadithi hizo tuzione
 
Sema Dr kwenye hizi dini mnatuokota sana bas tu hatuna namna ishakua mfumo wa maisha. Huko msikitini kuna muujiza wa mwezi kupasuliwa kati kati huku kanisani kuna muujiza wa bahari kugawanyika watu wakapita.
Mimi kwenye dini niliachaga hzi mambo zamani sana siwezi kudanganywa vitu ambavyo hata akili yangu tu hainipi kuvikubali
 
Miaka hyo hakukuwa na magonjwa ya zinaa kwasababu wagonjwa yote duniani yametengenezwa na binadamu kupitia dini yenu hyo mnaiyoiita ya Israel wauwaji
Unafikiri ana hoja huyo yeye anatoa tu kashfa yoyote inayomjia kichwani anaweza hata kusema kuwa Mtume alikuwa anauza cocaine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…