lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Kwani Adidas ni kampuni ya wapiDirector General wa Adidas ametangaza uzalishaji katika viwanda vyao vya China umeanza tena baada ya rais Xi Jinping kutangaza hali salama.
Ulaya na Marekani supermarkets zinaishiwa na bidhaa na watakwenda kununua China in bulk.
Sent using Jamii Forums mobile app