mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Kwan walivyo piga nyuklia Japan nyuklia zilikua zinaitajiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo pia sio rahisi, sidhani kama kuna nchi inaweza kufanya uhalifu kama huo kwa dunia ya sasa.
Kama Silaha za kemikali zinapigwa Vita kutumika (japo Syria zilitumika ila bado kuna utata nani hasa mhusika) je silaha ya kibaolojia kama kupandikiza virusi si ndio zaidi hazitakiwi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app